Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

Unanikumbusha kipindi cha nyuma kidogo, mdada mmoja alitaka nimkopeshe hela km laki tatu, yeye alikua na laki 2 kuna kazi ya laki tano alitaka kuifanya baada ya mwezi, basi nkamwambia haina shida ntakupa, ila shart langu ni moja, nitumie hiyo laki mbili ulonayo then ntakutumia laki tano yote muda wa hiyo kazi ukifika. Hahaaaaa.....alianza kiswahili mara ooh sijui.......
 
hahahaha,,,mkuu umenchekesha kwel kwel,,alaf n kwel i agree with u
 
4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

...........overcoming curiousity is damn tough.......I WILL KEEP A SHOT THOUGH
 

miss chagga upo makini sana teh teh...
 
Last edited by a moderator:
hiyo mizinga ya watoto wa chuo. Watu wazima hawapigi mizinga siku hizi .
Wadada wa kisasa wanatafuta mabwana wa kuwaoa -akikukamata ni fulu kukupunguzia stress za matatizo yako ya kifedha (hususani fedha ndogondogo za vijana wa mjini-kiweka mafuta kwenye kiverosa na kukaa samaki samaki ama Katalunya kunywa beer 3 za kuzugia)
 
Akikujibu maisha magumu! Mwambie Mimi naharisha mpenzi wangu, hapa nilipo nipo karibu na choo!
 
ha haha ha alitaka kufanya uhuni mimi huwa sikopi naomba
 
Kumbe hakuwa na hela wala hakua na mpango wa kazi ya laki tano. Alitumia mbinu ili nimpe then iwe kwaherii...nyinyi mna maambo sana.

huwa sipigi mizinga ya uongo nakwambia tu ukweli nataka laki moja nikanunue nguo au nikasuke au nikakae bar we uamue kunipa au lah
 
huwa sipigi mizinga ya uongo nakwambia tu ukweli nataka laki moja nikanunue nguo au nikasuke au nikakae bar we uamue kunipa au lah
Je! utatengeneza link kati ya kunipa nonihinoo na mimi kukunyima kahelaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…