Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?


Igweeeee[emoji7]
You earn her first, ndio mambo mengine yanaendelea
May your pockets never run dry kwa kweli.
 
Naongea na wewe Binti mdangaji.

Wazazi wako si walikuwa wanakupa 500 tshs kwa siku ukatumie shule, eti leo hii unataka kila wiki umpige kizinga cha laki moja mpenzi wako 😂😂😂

Una akili timamu kweli?

Tumia mikono yako 2 , miguu yako 2 na akili kujitafutia kipato. Acha kusumbua watu, kucha kazi ya kutuma sms baby, baby nikuambie kitu, baby wiki ijayo birthday yangu.

Wewe ombaomba acha hiyo tabia.
Your browser is not able to display this video.
 
Kweli kuomba omba si tabia nzuri.

Kuomba omba kunachochea zinaa.

Maana mwanaume unayemuomba pesa na sio mume wako na yeye lazima akuombe vya kuombwa hili muende sawa.
 
Mambo ni magumu sheikh, ukiwa na kipato huwezi kuelewa, sio vijana wa kike wala wa kiume wanahemea juu juu.
Rafiki yangu mmoja Dr alinionyesha text ya ex mcheps, anaomba 5k ya sanitary pad, tena kwa ku~beg kabisa...its sad!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…