Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

Mwanamke akikupenda kweli, ukimsifia anafurahi

Piem ndio kajaa nimempa password yeye ndo anayewajibu ss hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukiona unapewa majibu tofauti ujue “Chuma kina type “ [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aisee unavonikwepa😂 nakupa marks
 
Kadiri unavyo msifia mwanamke ndivyo kadiri unavyozidi kumuweka mbali na wewe na kumfanya akuone wewe siyo type yake.

Hii inaenda sambamba nakumpenda.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom