Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.
Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio akanizuia, akatoa cm yake akanionesha ile picha kumbe alichukua screenshot akajitumia.
Daah, nikawa mpole. Akanichana sana pale. Fala nimekaa kimya tu. Sijibu kitu. Huyo akaingia kwao. Nikasepa.
Infact ni kweli yule dogo huwa namla. Sema hana akili za maisha ndio maana sijamtilia maanani. Nakapendea umri wake mdogo na uzuri wake.
Week mbili zimepita mimi na manzi wangu hatuna mawasiliano. Juzi nashangaa anagonga hodi getto nikafungua akanikabidhi bahasha. Akasema mzigo wako huo. Akasepa.
Kufungua nakuta perfume na kikaratasi ameandika "this is for you my love. Mlolongo" Nikajiuliza maswali mengi sana, na kujutia juu.
Jana nilipita Mliman City kuulizia bei ya hii perfume nikaambiwa inauzwa 175,000 mwisho mia sabini.
Nimeamini manzi wangu ananipenda mno. Sana.