Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

Alaf siku ukichomwa Moto huko getoni waje ndugu zko hku kulalama wanawake wanaroho mbaya
 
Mkuu unakula hela za wanaume wenzako, kuna boya linamtunza huyo manzi ila halipendwi unapendwa wewe hivyo basi mmehongwa wote.
[emoji23]
IMG_20210607_113733.jpg
 
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.

Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio akanizuia, akatoa cm yake akanionesha ile picha kumbe alichukua screenshot akajitumia.

Daah, nikawa mpole. Akanichana sana pale. Fala nimekaa kimya tu. Sijibu kitu. Huyo akaingia kwao. Nikasepa.

Infact ni kweli yule dogo huwa namla. Sema hana akili za maisha ndio maana sijamtilia maanani. Nakapendea umri wake mdogo na uzuri wake.

Week mbili zimepita mimi na manzi wangu hatuna mawasiliano. Juzi nashangaa anagonga hodi getto nikafungua akanikabidhi bahasha. Akasema mzigo wako huo. Akasepa.

Kufungua nakuta perfume na kikaratasi ameandika "this is for you my love. Mlolongo" Nikajiuliza maswali mengi sana, na kujutia juu.

Jana nilipita Mliman City kuulizia bei ya hii perfume nikaambiwa inauzwa 175,000 mwisho mia sabini.

Nimeamini manzi wangu ananipenda mno. Sana.

View attachment 1888018
wewe ni mtu wa kula take away kweli?
 
Unyunyu ukiisha unakibarua cha kumaintain..Usijerudi kwenye zile zetu zinazobadilika harufu kulingana na nyakati..(joto,baridi,jua kali nk..[emoji16][emoji16])..
By the umejiridhisha kama si fake?..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Nitajuaje...
Mie nyunyu zangu hazizidi 30,000.

Nimepokea kwa mikono miwili. Nimeridhika.
 
Kwahiyo unaona sisi hatufai kuona hizo nywele za dogo? Weka picha na sisi tuone ili tuweze kuchangia maada kwa ufasaha
 
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.

Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio akanizuia, akatoa cm yake akanionesha ile picha kumbe alichukua screenshot akajitumia.

Daah, nikawa mpole. Akanichana sana pale. Fala nimekaa kimya tu. Sijibu kitu. Huyo akaingia kwao. Nikasepa.

Infact ni kweli yule dogo huwa namla. Sema hana akili za maisha ndio maana sijamtilia maanani. Nakapendea umri wake mdogo na uzuri wake.

Week mbili zimepita mimi na manzi wangu hatuna mawasiliano. Juzi nashangaa anagonga hodi getto nikafungua akanikabidhi bahasha. Akasema mzigo wako huo. Akasepa.

Kufungua nakuta perfume na kikaratasi ameandika "this is for you my love. Mlolongo" Nikajiuliza maswali mengi sana, na kujutia juu.

Jana nilipita Mliman City kuulizia bei ya hii perfume nikaambiwa inauzwa 175,000 mwisho mia sabini.

Nimeamini manzi wangu ananipenda mno. Sana.

View attachment 1888018
Ukute hiyo hela yà kukununulia wewe perfume amepewa na msela wake mwingine baada ya kupelekewa moto usio na kifani ndan ya hizo wiki mbili, na wewe upo hapa unajidai unapendwa,

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom