Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

Kuna jambo linakunyemelea.

Ombea hiyo pafyumu
Nunua faya extinguisher.
 
Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka.
Huyo kanununia fekero, shukuru ni zawadi
 
Hapo imaanisha kaliwa na njemba yenye hela na imempa pesa ya maana. Hasira zake zimeisha na ili kuridhisha nafsi yake juu ya kuliwa kwake asijione msaliti ndio kakuletea hiyo zawadi.

Kwa kifupi unajipulizia manukato yaliyotakana na kulalwa mpenzi wako.
Daaah. Wabongo bwana.
 
Kwahio hizo week mbili hata hujamtafuta na unajua umemkosea mpaka amekutafuta yeye. Wanawake wengine wanapenda kiboya.
Hahahaah anamsubiri aingie kwenye 18 zake, hata hivyo huenda hio ni meseji kuwa Kuna Dume limemhonga huyo binti
 
Ila kuna wanawake na wanawake na nusu aisee[emoji1487]yan mim tukio moja tu nakupiga matukio kama mia na nakuacha dadeki staki utani...nitreat vizur i give yu heaven ukimessup mazee nakupatia hell sipunguzi siongezi [emoji28]unapata unachostahili
Sasa nani anachosha mwili wake?! So ukilala na wanaume 100 kisha ukaacha mwanaume ndio umemkomoa?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kila mwanaume unaelala nae anaondoka na baraka zako za kupata mtu bora.
 
Its just a fair play mazee nani anachosha mwili na nani hachoshi mwili its non of my concern hiyo itafahamika mbele kwa mbele as long as am happy inatosha kwa sababu kama ni kuchosha mwili unachosha wako na sio wa mtu[emoji28]
 
Kwahio hizo week mbili hata hujamtafuta na unajua umemkosea mpaka amekutafuta yeye. Wanawake wengine wanapenda kiboya.
Mwanamke ndo anampenda sana mkaka ndo maana anamhonga..ahaaaaaa.

Sisemi mimi sitowi zawadi natoaga sana, ila natoa kwa anaetoa kwangu.

Ilaa kwa huyo dada nahisi kuna shida sehemu.

Mwanaume mwenyewe ameshasema kale kadada kachepuko anakapendea uzuri na umri, ukute bi kuhonga anamzidi mkaka miaka anamuhonga amuoe aaah.😂😂😂

Ahaa siwezi mpenda mtu ninaemzidi umri bora niwe na babu kuliko hawa wanafunzi wa anti Ezekiel
 
Back
Top Bottom