Hujui Maandiko kabisa..Watu wanataka Yesu arudi wapi?
Anawafundisha wanafunzi wake kuomba, anasema ufalme wako uje
Maana yake Ufalme wa Mungu wetu upo duniani
Tupo nao tunaishi nao na Yesu yumo ndani yetu
Imeandikwa.
2 Wathesalonike 1:6-9
[6]Kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi;
Seeing it is a righteous thing with God to recompense tribulation to them that trouble you;
[7]na kuwalipa ninyi mteswao raha pamoja na sisi; wakati wa kufunuliwa kwake Bwana Yesu kutoka mbinguni pamoja na malaika wa uweza wake
And to you who are troubled rest with us, when the Lord Jesus shall be revealed from heaven with his mighty angels,
[8]katika mwali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu;
In flaming fire taking vengeance on them that know not God, and that obey not the gospel of our Lord Jesus Christ:
[9]watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake;
Who shall be punished with everlasting destruction from the presence of the Lord, and from the glory of his power;
Na tena
1 Wathesalonike 4:15-17
[15]Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
For this we say unto you by the word of the Lord, that we which are alive and remain unto the coming of the Lord shall not prevent them which are asleep.
[16]Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.
For the Lord himself shall descend from heaven with a shout, with the voice of the archangel, and with the trump of God: and the dead in Christ shall rise first:
[17]Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.
Then we which are alive and remain shall be caught up together with them in the clouds, to meet the Lord in the air: and so shall we ever be with the Lord.