tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #81
Hapana. Sidanganyiki mkuu. Mkojo hata mm nauona na mashuka yanalowa barabara. Kupumbazwaje tena mkuu?Humu JF kila mtu anamkojoza ke. Hao ke wanalaumu wasiowakojoza kupitia raia wa humu.
Hao wanaolalamikiwa, wasiowakojoza wanatokea wapi?
Lakini, mkuu, inaonekana we mwepesi kupumbazwa. Ukiendelea hivi, utaibiwa sana.