Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Sawa hela zipo ila sio sana dearIcho kigezo ni cha mwisho yaan pale unaanza una pesa experience inakuja somwa mwisho
Usijali nipo ntakutembezaπΉSawa hela zipo ila sio sana dear
Haaahaa π π π alafu ulikua unatukataza tusipige gambee..Acha kabisa mi juzi nimeuza mechi baada ya muda mrefu sana, soon tunaenda kupima.
πππEbu rudia tena kwa nguvu π€£π€£π€£
WordMwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
Yes,linawakumbusha watuHili tangazo la condom kila baada ya habari linapigwa.
Thanks dear can't waitUsijali nipo ntakutembezaπΉ
Na mwenye kuvaa na avaeMwenye sikio na asikie...
Pole kaka yanguu u will be fine...Ndio nshajimix kabla ya kupima kwahiyo sahivi nikienda kupima majibu anaweza baki nayo daktari π
Hataki kugusanisha nyama kwa nyamaMwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
πAnajali afya yake yeye, maana yake hakuamini
ChaeππHataki kugusanisha nyama kwa nyama
Alizaliwa nao? Inasikitisha mnoo.Kuna binti naishi naye ana miaka kama 21 hivi karembo sana ila ameungua japo tunaojua ni wachache tu cha kusikitisha waume za watu na balehe wanamtafuna sana sasa sijui hatma Yao ikoje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna scenario nilishakutana nayo, manzi baada ya kuona nachelewa ,akasema "vua condom" aisee ule mshtuko nilioupata nikajikuta nishamwaga bila kupenda [emoji23][emoji23][emoji23].
Nikawaza huyu ananitakia nini huyu?
πππKama unampenda utamlinda
Na kama mnapendana mtalindana
Mwingine ni ntu ya diliπInategemea ntu na ntu
Noma kweli yan, harakat za ujana zima mambo meengi sana . Mi nashangaa sana mtu ambaye anajiamini kula kavu mtu asiyemjua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
MKUUChaeππ