Ujue nini, mi nikihonga mwanamke hujihakikishia mambo mawili muhimu: uhuru wa penzi pamoja na mpenzi husika, kuwa sasa yupo kwenye himaya yangu kikamilifu na karidhia.
pia saikolojia yangu huiimarisha vizuri siha yangu na kuwa kama simba dume na kwa kujiamini.
Lakini bure bure mama hata siwezi mie, nitajiona dhaifu na dhalili sana.
Haya, mmetoka kwa mtindo wa 'free lunch' si ndiyo, ikitokea shida kidogo tu inayohitaji kutanzuliwa kwa pesa ndipo hapo mwanaume hugeuka kalunguyeye namna afanyavyo akiguswa😁😁😜ni nywiiii kichwa ndani kule.
Hata mood ya mnara kusoma kwa kunyooka itakuwepo kweli!