Mwanamke akikwambia vaa condom, usikatae

Mwanamke akikwambia vaa condom, usikatae

Vijana najikuta natamani nitoe shuhuda iliyo nifanya ni staafu mapema Sana uhuni na harakati za ujana kuzichakata mbususu/papuchi.

Unajua wakati mwingine kampani mbaya na bad friends huwa wanaweza kukupotosha
Nili staafu mapema Sana kua nama multi_partner 😊

Nilitundika daluga nikiwaona Malaya huwa naonaga Kama MA VAMPIRE 🦇

Haaahaa 😊 NGOJA NIWAI MAPINDI VETAA..Nitarudi baadae.
 
Nilijuta sana ila hakuwa na kosa alinionya kabisa
Binafsi kondom ni kitu wanaume wengi hutushinda..

Condom nzurii kwatafiti zangu ni BULL CONDOMS PEKEE

Nyingine sijui bare back, flavors,king size, Durex, rough rider, dume,fiesta,life guards SIO NZURII KABISA.

At least BULL CONDOMS PEKEE NI IMETENGENEZWA VYEMA KABISAA
 
Mwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
kuna wengine huwa hawataki kitu hicho. Yupo mmoja alinikataza nisivae, akasema nikivaa atapiga kelele nambaka, ikabidi niahirishe kunyandua kwa kuzuga nimeng'atwa na nge na sijui kapotelea wapi ili tu nituke salama huko chumbani
 
Wengi huwa wanasema hawaoni utamu ukivaa dude hilo wanataka nyama kwa nyama, wanasema hufurahia joto la dushe lizamishwayo mbunyeni linawapa mzuka wa kimahaba
 
Back
Top Bottom