Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Habari yakoMKUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari yakoMKUU
Juzi kati nilikutana na pisi, nikawa na itongoza ni barabarani wakati huo tukapishana na mdada kafungasha nikapiga jicho wakati nageuka sijakawa sawa nasikia huyu pisi ananiambia angalia tu? Baba fahari ya macho haifilisi duka
Nzuri sana Mungu ni mwema ni namshukuru.Salama
Habari yako
Bless mom nimeipenda picha yako.Hongera sana.Exactly 👍
Upo Rafiki kipenzi
Safi sanaNzuri sana Mungu ni mwema ni namshukuru.
Utamheshimuje mtu ambaye yupo njia panda na wewe?Mwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
Nipo..habari ya siku?Upo Rafiki kipenzi
Mkuu ulivaa expired bhana.Ivi ni kweli? Kuna malaya nilinunua na condom nilivaa ila baada ya siku chache nikapata UTI
Hivi kuna mtu anaweza fakamia bila hela na akasikia raha kabisa?Kijana kama pesa ipo cv itasomwa😹
Sidhani Kwan inawezekanaHivi kuna mtu anaweza fakamia bila hela na akasikia raha kabisa?
Salama kabisaNipo..habari ya siku?
Ujue nini, mi nikihonga mwanamke hujihakikishia mambo mawili muhimu: uhuru wa penzi pamoja na mpenzi husika, kuwa sasa yupo kwenye himaya yangu kikamilifu na karidhia.Sidhani Kwan inawezekana
Asanteeeee and yes I'm blessed 😅Bless mom nimeipenda picha yako.Hongera sana.