Mwanamke akileta ujuaji kitandani anatia mashaka sana

Mwanamke akileta ujuaji kitandani anatia mashaka sana

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Hasa akiwa mtu unamalengo nae, yaani inatoa imani sana. Unawaza kua huenda ni amekubuhu na anauzoefu sana, huenda ndio hufanya na wengine hivyo, taflani.

Ni vema mwanamke akatulia tu asubiri maelekezo, mambo ya kuruka ruka na kujifanya gwiji hayafai
 
Kuna huyu mwamba sasa....🤣🤣👇🏻👇🏻

IMG-20230524-WA0064.jpg
 
Ila Wanaume sijui tunataka nini ili tukidhike. Mwanamke akitulia Kama unavyotaka mleta mada mnamwita gogo,akijishughulisha viuno feni Kama wamakonde mnasema ooh atakuwa anawakatikia wangapi kiuno feni!? Atakuwa ananyonya koni za wanaume wangapi?

Mzee baba,me naona ni vema kulidhika na chakula ygakachokutana nacho mezani,mambo ya kumhukumu mwanamke kisa tabia za kitandani unakosea.

Mfano ukutane na mtanga au mmakonde/mwera si utasema wanawake wote wa kusini ni Malaya,au wafanga ni Malaya.

Kumbe kwao kujishughulisha ni utamaduni. Mwanamke ajishuhhulishe bwana,ulokole pelekeni kanisani,kitandani ni uwanja wa mpambano!! Au anasema uongo ndugu zangu
 
Back
Top Bottom