National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Watu kama nyie ndio mnatukoseshaga maufundi sasa ,Hasa akiwa mtu unamalengo nae, yani inatoa imani sana. Unawaza kua hunenda ni amekubuhu na anauzoefu sana, huenda ndo hufanya na wengine hivyo, taflani.
Ni vema mwanamke akatulia tu asubiri maelekezo, mambo ya kuruka ruka na kujifanya gwiji hayafai