Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Program Manager

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
2,763
Reaction score
3,955
Iko hivyo.

Mimi sina kabisa muda wa kulia lia eti kisa demu ameniacha. Mimi sina hizo habari za kulazimisha eti demu anipende,sina huo muda kabisa. Mimi demu nikishamla hapo ni yeye ndo ataamua kama tuendelee au tumwagane.

Demu tuliyejuana ukubwani akiwa ametunguliwa mishale kibao kwangu namuona kama chuma chakavu tu kwahiyo hata akiniacha huwa sijali wala,sina muda naye tena,japo akijirudisha kwangu namfyatua tena.
Eti mimi nikae kutwa nasikiliza nyimbo za huzuni kisa demu huo ufala sifanyi kabisa mi naangalia mwingine najiweka tena natafuta mkali zaidi yake.

Nawashangaa wanaume wenzangu mnaohangaika kulia lia humu kisa mmetendwa na wanawake huwa nawaona kama wavulana premature wa shule ambao wanajifunza kuhusu wanawake.

Usioneshe kutekwa kihisia na mwanamke kwani utakuwa umeruhusu mkuki wa sumu moyoni mwako mwenyewe.
Mwanamke akikuacha we shukuru tu kwani amekupa chance ya kumove on na atakuwa amewapisha wanawake wenzie waendelee kula ndizi.

Mwanamke unaweza kuwa naye leo unampa kila hitaji lake na bado siku mapepe yake yakimpanda anakuacha so kwanini uumie wakati wapo wengi,be a man onesha uanaume na ili maumivu yamrudie wewe tafuta hata shoga yake tembezea rungu.be a man.
Wanawake wapo wengi Sana wazuri hivi wenzangu hamuwaoni?Ni mimi tu ninayedindia kila sketi?

Haisaidii kulia lia, ni udhaifu mkubwa sana kupigapiga kelele baada ya kuachwa na mwanamke.
"Tuishi nao kwa akili" mnadhani ni akili ipi? Akili ya kununua mboga na mahitaji mengine tu?

Wanawake wa sikuhizi ni mapepe sana hivyo Lazima uwe na akili ya ku overcome situation kama hizo.
Mimi ni kidume ukiniacha kama hujaniacha tu kwahiyo kupoteza demu kwangu ni kama nimepoteza screpa tu.
 
Unaweza kuwa umerefuka hiyo ni sawa,
Unaweza kuwa na midevu zaidi ya Osama nk.
Lakini pamoja na yote naona bado hujakua kabisa ndg yangu.

Je lengo la wewe kuwa na mpenzi ni kumwagiana mbegu tu mkuu?.

Nijuavyo mimi kuwa na mpenzi ni kuwa na sukari wako wa moyo, tulizo na furaha yako.
Mtu ambaye uwepo wake tu ni afya ya roho yako.

Je afya na furaha ya moyo wako unaweza kukubali ikuache kizembe tu?

Wanawake warembo ni wengi lakini kipenzi cha roho yako ni adimu na adhimu na huwezi kuruhusu eti kikutoke tu kama kutupa chupa ya maji aaah mkuu hauko siriazi....una stress za kuachwa?
 
Mimi hata mwanamke akinichomolea baada ya kum-approach huwa nachukulia poa tu maana najua hata kama kanikataa bado ataenda kuliwa au kubanduliwa na mwanaume kama mimi yaan ni kama hajanikwepa maana bado mbususu imeliwa
 
Unaweza kuwa umerefuka hiyo ni sawa,
Unaweza kuwa na midevu zaidi ya Osama nk.
Lakini pamoja na yote naona bado hujakua kabisa ndg yangu.

Je lengo la wewe kuwa na mpenzi ni kumwagiana mbegu tu mkuu?.

Nijuavyo mimi kuwa na mpenzi ni kuwa na sukari wako wa moyo, tulizo na furaha yako.
Mtu ambaye uwepo wake tu ni afya ya roho yako.

Je afya na furaha ya moyo wako unaweza kukubali ikuache kizembe tu?

Wanawake warembo ni wengi lakini kipenzi cha roho yako ni adimu na adhimu na huwezi kuruhusu eti kikutoke tu kama kutupa chupa ya maji aaah mkuu hauko siriazi....una stress za kuachwa?
Mawazo yako.
Sijawahi kuwa na stress za kuachwa soma upya uzi wangu utajua mimi ni mtu wa namna gani
 
Ungesubiri hata wiki ipite ndo u post ukiwa umetulia, ona sasa povu lilivokutoka bila shaka wamekumimina mchana huu..

hiyo screpa itakua chuma ya reli mana imekugusa kumoyo 😁😁

Jokes mkuu 💪
Ahahaa sijaachwa mkuu niko fiti
 
Unaweza kuwa umerefuka hiyo ni sawa,
Unaweza kuwa na midevu zaidi ya Osama nk.
Lakini pamoja na yote naona bado hujakua kabisa ndg yangu.

Je lengo la wewe kuwa na mpenzi ni kumwagiana mbegu tu mkuu?.

Nijuavyo mimi kuwa na mpenzi ni kuwa na sukari wako wa moyo, tulizo na furaha yako.
Mtu ambaye uwepo wake tu ni afya ya roho yako.

Je afya na furaha ya moyo wako unaweza kukubali ikuache kizembe tu?

Wanawake warembo ni wengi lakini kipenzi cha roho yako ni adimu na adhimu na huwezi kuruhusu eti kikutoke tu kama kutupa chupa ya maji aaah mkuu hauko siriazi....una stress za kuachwa?
Sharukan Kama sharukan.
 
Me nikiachika bado nalia
Nalia nikinyamaza nampa block kila kona
Nikipoa
Naanza muona kama trash 💃
Mkikua wewe na mleta uzi mtaacha😅😅
Kiasi flani umeonyesha unajali ndio maana unaliaga...hapa✅
 
Back
Top Bottom