Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
- Thread starter
- #41
Amini nakuambia,najijua mimi ni nani pia nawajua wanawake ni akina nani 😀Kuwa muwazi bana. 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amini nakuambia,najijua mimi ni nani pia nawajua wanawake ni akina nani 😀Kuwa muwazi bana. 🤣🤣🤣
Mwanamke unaweza usimchit,unamhandle na pesa ipo bado akaliwa na lijamaa lisilompa vyote hivyo na akakuacha bila sababu ulizotaja.je unakubali hilo?Nahisi nilikuelewa vizuri kuwa ukiachwa huwa hujali.
Lakini mkuu huwezi kuachwa bure lazima kuna haya;
1. Umechit
2. Hujui kumhandle na labda amekueleza sana na huna dalili za kubadilika.
3. Mwanamke ni money monger na anaona huna tena.
Ikiwa sababu ni namba 1. Tatizo ni lako na huwezi kujivuna kuwa umemtupa kama chupa ya maji.
Kuna wakati tuna achwa kwa haki na hilo ni jambo la kujilaumu.
Mwisho wa yote;
Mapenzi bora hupiganiwa, ni kimaanisha kuwa tayari wote kujishusha na kuondoa tofauti zenu.
Naruhusu unikosoe
Kabla sijaandika huu uzi nilijua kuna watu mtasema hivyo.ok ndiyo nimeachwaUshaachwa ww sio bure
Mwanamke unaweza usimchit,unamhandle na pesa ipo bado akaliwa na lijamaa lisilompa vyote hivyo na akakuacha bila sababu ulizotaja.je unakubali hilo?
Mimi nishakuwa na kila aina ya mwanamke mkuu ila tu naipenda tabia yangu.Kumbe huwa uko na mishankupe hujakutana na mwanamke anayejitambua.
Akikuacha utahisi huna thamani tena.
Kuna wanawake wanajitambua kwanini walikuja duniani mkuu.
Achana na hawa mislay queen
Muda ni mwalimu mzuri sana,nilishawahi kuwa na mawazo yako nikagundua nalazimisha kuishi nyuma ya mudaNi aina ya ke barangure
Wapo lakini nawe utambue kuwa ;Mwanamke unaweza usimchit,unamhandle na pesa ipo bado akaliwa na lijamaa lisilompa vyote hivyo na akakuacha bila sababu ulizotaja.je unakubali hilo?
Hivi unazungumzia wanawake gani?Wapo lakini nawe utambue kuwa ;
1. Kumlisha
2. Kumvalisha
3. Kumnunulia simu kali na ghali
4. Kumpa kila kitu haitoshi.
Hakikisha kauli yako ni njema laini na ya kumvutia mpenzi wako...
Wazee wanaita nyama ya ulimi.
Mwanamke anaweza kukonda na kukuchukia kwa kauli za maudhi tu ilhal umempa vyote vya thamani.
Kauli
Kauli
Maneno laini mkuu
Hivi unazungumzia wanawake gani?
Hawa hawa au kuna wengine wameshushwa?
Na ndivyo ilivyo,umwagilie moyo🤣🤣🤣eti wanasema Usawa huu ukiachwa na demu ni sawa kama umemaliza marejesho ya "KAUSHA DAMU".
Huyo litampata jambo ngoja aendelee kuwajua wanawake ni kina naniAnawazungumiza kina Faiza Ally.
Mkuu dunia hii ina wanawake wote na wote wamo humu.Hivi unazungumzia wanawake gani?
Hawa hawa au kuna wengine wameshushwa?
Mganga tulia mkuu😅😅Anawazungumiza kina Faiza Ally.
Hii mpya asee, kama unategemea furaha yako ama uzima wako wa afya kutoka kwa kiumbe hai mwingine inabidi ujitafakari sanaNijuavyo mimi kuwa na mpenzi ni kuwa na sukari wako wa moyo, tulizo na furaha yako.
Mtu ambaye uwepo wake tu ni afya ya roho yako.
Je afya na furaha ya moyo wako unaweza kukubali ikuache kizembe tu?
Hahah kuna wanawake ni malaika?Mkuu dunia hii ina wanawake wote na wote wamo humu.
Ukiumizwa utawachukia wote lkn niamini
Kuna wanawake ni malaiki...
Hawa chit
Wanasamehe
Wanavumilia
Wana upendo wa dhati na sio vitu
Wapo nina ushahidi.
Kijana wangu kinachokutesa wewe ni aina flani ya wanawake unaowapenda lakini wao hawakupendi wewe bali vitu vyako.
Unateswa na tamaa yako mwenyewe mkuu.
Ukikubali kuwa type flani sio yako ndipo utakutana na wenye upendo wa kweli.
Hamtanielewa wanaume wa humu.
##WANAWAKE WEMA WAPO WAKUU WANG#
Swadaktaaaa...hayo ndiyo mambo yangu mimi.Mganga tulia mkuu😅😅
Yeye anataka akina Mobeto na akina mobeto ni wanyonya damu hawana habari na moyo wako
Utakufa na presha mkuu.Hahah kuna wanawake ni malaika?
Mimi nimechagua aina ya wanawake hao unaowakandia kwa sababu sitaki matatizo,sitaki depression mie,familia yangu inanitosha 😀
Wewe mkuu utakuja kunikumbuka sikumoja kwamba nilikuambia lakini hukutaka kusikia, wanawake unaowazungumzia hawapo ukiona mwanamke anajifanya ati yeye malaika sijui mariam Magdalena shtuka ni mtego au anakuibiaUtakufa na presha mkuu.
Kuna wanawake watoa roho aah acha kabisa.
Lakini malaika wamo hata humu jf
Hahaha kwa age yangu nimeona mengi.Swadaktaaaa...hayo ndiyo mambo yangu mimi.