Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Wewe mkuu utakuja kunikumbuka sikumoja kwamba nilikuambia lakini hukutaka kusikia, wanawake unaowazungumzia hawapo ukiona mwanamke anajifanya ati yeye malaika sijui mariam Magdalena shtuka ni mtego au anakuibia
Mkuu mimi siwezi kudanganywa kamwe.
Hata ujifanye malaika yaani first sight nakujua hadi mawazo yako.

Mimi sio fala ni mzoefu mkuu
 
Hahaha kwa age yangu nimeona mengi.
Pia nimeyashiriki sio tu nchini bali hadi kuvuka bahari na ngozi tofauti na yetu.

Kwa sehemu kubwa nawafahamu sana hawa viumbe...usiwachukulie poa.

Wewe unawaza sex yeye anaingia kwa gia ya kukupura.
Huyo anytime mnazinguana.

Lakini kuna mwanamke anakuja kwako amejitoa mwili na riho....chagua
Hao wanawake unaosema wapo sikuona wakiainishwa pale waliposema "tuishi nao kwa akili"
 
Hao wanawake unaosema wapo sikuona wakiainishwa pale waliposema "tuishi nao kwa akili"
Biblia iyoyesema tuishi nao kwa akili pia ilituandikia wanawake wafuatao;
1. Delila
2. Debora
3. Abigael
Ukijua sifa zao urudi jukwaani tuendelee
 
Biblia iyoyesema tuishi nao kwa akili pia ilituandikia wanawake wafuatao;
1. Delila
2. Debora
3. Abigael
Ukijua sifa zao urudi jukwaani tuendelee
Kumbe unazungumzia wanawake wa era za bible!
 
Ukikua utaacha mkuu.

Ni kweli kuna kaumri ka ujana unakua dungadunga tu. Ila ukishakua utaona ya nini haya, utatulia zako tu na chombo yako.
Hata sasa natuliaga sana na chombo yangu lakini ikiniacha ni kama nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa tu,sipotezi mwelekeo.
 
Iko hivyo.

Mimi sina kabisa muda wa kulia lia eti kisa demu ameniacha. Mimi sina hizo habari za kulazimisha eti demu anipende,sina huo muda kabisa.
Mimi demu nikishamla hapo ni yeye ndo ataamua kama tuendelee au tumwagane.

Demu tuliyejuana ukubwani akiwa ametunguliwa mishale kibao kwangu namuona kama chuma chakavu tu kwahiyo hata akiniacha huwa sijali wala,sina muda naye tena,japo akijirudisha kwangu namfyatua tena.
Eti mimi nikae kutwa nasikiliza nyimbo za huzuni kisa demu huo ufala sifanyi kabisa mi naangalia mwingine najiweka tena natafuta mkali zaidi yake.

Nawashangaa wanaume wenzangu mnaohangaika kulia lia humu kisa mmetendwa na wanawake huwa nawaona kama wavulana premature wa shule ambao wanajifunza kuhusu wanawake.

Usioneshe kutekwa kihisia na mwanamke kwani utakuwa umeruhusu mkuki wa sumu moyoni mwako mwenyewe.
Mwanamke akikuacha we shukuru tu kwani amekupa chance ya kumove on na atakuwa amewapisha wanawake wenzie waendelee kula ndizi.

Mwanamke unaweza kuwa naye leo unampa kila hitaji lake na bado siku mapepe yake yakimpanda anakuacha so kwanini uumie wakati wapo wengi,be a man onesha uanaume na ili maumivu yamrudie wewe tafuta hata shoga yake tembezea rungu.be a man.
Wanawake wapo wengi Sana wazuri hivi wenzangu hamuwaoni?Ni mimi tu ninayedindia kila sketi?

Haisaidii kulia lia, ni udhaifu mkubwa sana kupigapiga kelele baada ya kuachwa na mwanamke.
"Tuishi nao kwa akili" mnadhani ni akili ipi? Akili ya kununua mboga na mahitaji mengine tu?

Wanawake wa sikuhizi ni mapepe sana hivyo Lazima uwe na akili ya ku overcome situation kama hizo.
Mimi ni kidume ukiniacha kama hujaniacha tu kwahiyo kupoteza demu kwangu ni kama nimepoteza screpa tu.
Andaa kuni zako mzee special
 
Unaweza kuwa umerefuka hiyo ni sawa,
Unaweza kuwa na midevu zaidi ya Osama nk.
Lakini pamoja na yote naona bado hujakua kabisa ndg yangu.

Je lengo la wewe kuwa na mpenzi ni kumwagiana mbegu tu mkuu?.

Nijuavyo mimi kuwa na mpenzi ni kuwa na sukari wako wa moyo, tulizo na furaha yako.
Mtu ambaye uwepo wake tu ni afya ya roho yako.

Je afya na furaha ya moyo wako unaweza kukubali ikuache kizembe tu?

Wanawake warembo ni wengi lakini kipenzi cha roho yako ni adimu na adhimu na huwezi kuruhusu eti kikutoke tu kama kutupa chupa ya maji aaah mkuu hauko siriazi....una stress za kuachwa?
Namuona kama anawazia hewani. Anaweza akafukuza wanawake 99 lakini akakwama kabisa kwa huyo wa 100.

Hizo nyingine ni hadithi za Abunuwasi.
 
Back
Top Bottom