Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Mwanamke akiniacha ni kama tu nimetupa chupa ya maji ambayo tayari nimeyanywa

Me nikiachika bado nalia
Nalia nikinyamaza nampa block kila kona
Nikipoa
Naanza muona kama trash 💃
Kwa mwanamke ni kawaida sana.
Mwanamke ndiye ana sifa ya kujutia,kulia na kubembeleza.
Mimi nawashangaa wenzangu wanaojichetua hawa wasiojua wajibu wao.
Mind you mwanaume hawezi kuwa trash labda kama hakukumwagia vizuri
 
Bila shaka hata wewe inaonekana unateseka na mapenzi, umeandika uzi mrefu mpaka nimeshindwa kumalizia kusoma
 
Mkikua wewe na mleta uzi mtaacha😅😅
Kiasi flani umeonyesha unajali ndio maana unaliaga...hapa✅
Unataka nilie lie hovyo?ndo ukuaji gani huo? Wewe endelea kuwapa ushujaa wanawake siku uumie moyo
 
Unataka nilie lie hovyo?ndo ukuaji gani huo? Wewe endelea kuwapa ushujaa wanawake siku uumie moyo
Kulia ni kwa Depal mkuu sisi huwa hatulii.

Kwa umri wangu nimeumizwa mkuu lkn kuna wanawake wa maana mnoo kuliko unavyofikiri.

Pia kuna wanawake mabarangure kweli kweli.
Haya lazima uyajue mapema.
Cc Sugu na Faiza Ally
 
Kumbe hili suala unalielewa vyema.ok labda ni Mimi hukunielewa mkuu
 
Haujawahi kuingia kweny mikono ya Hamida au wanawake wa Tabata kama yule diwani.
 
Kumbe hili suala unalielewa vyema.ok labda ni Mimi hukunielewa mkuu
Nahisi nilikuelewa vizuri kuwa ukiachwa huwa hujali.
Lakini mkuu huwezi kuachwa bure lazima kuna haya;
1. Umechit
2. Hujui kumhandle na labda amekueleza sana na huna dalili za kubadilika.
3. Mwanamke ni money monger na anaona huna tena.

Ikiwa sababu ni namba 1. Tatizo ni lako na huwezi kujivuna kuwa umemtupa kama chupa ya maji.

Kuna wakati tuna achwa kwa haki na hilo ni jambo la kujilaumu.

Mwisho wa yote;
Mapenzi bora hupiganiwa, ni kimaanisha kuwa tayari wote kujishusha na kuondoa tofauti zenu.

Naruhusu unikosoe
 
Hakuna hiyo kitu.Sijawahi kupoteza faraja eti kisa nimeachwa 🤣
Kumbe huwa uko na mishankupe hujakutana na mwanamke anayejitambua.
Akikuacha utahisi huna thamani tena.
Kuna wanawake wanajitambua kwanini walikuja duniani mkuu.

Achana na hawa mislay queen
 
Back
Top Bottom