Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo


Waambie tu wanaume wajue jaman
Mtupe hela haina namna
 

Kheeee
Nchi hii ina vijana wa hovyo kweli
 
Ni Wanaume tu wajinga wanatumia pesa kuwapata wanawake
Ila ikitokea kugoma kutoa pesa watakufwata wanawake warembo tu Tena wenye future achana na Malaya
Ukiona una Mke Kila saa anaulizia hela ujue haulizwi kwako peke yako
Anajaribu kuoanisha hao wanaomhonga nje na wewe mume wake nani zaidi
 
Ngoja waje kuchukua muongozo...

Kwangu vyovyote sawa tu, ukiomba sawa, usipoomba ni sawa pia... mambo yako nakuachia mwenyewe...
Napokua nayo natoa pasipo hata mwanamke kutarajia...
 
Sinaga hizo mambo za kususa mimi, nisuse namsusia nani.
Huwa sisusi na ukisusa sijali.l, kama ni dem wangu ntakubembeleza kinafki tu usije katisha kunipa mbususu. Ukizidisha hiyo misuso nakupotezea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…