Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Muombaji Atakuwa Na Degree Ya Kuomba Bila Shaka Vyuo Vya DodomaUwe na kisirani wewe..uombe msaada kwetu!!!..pambana na omba omba wako😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muombaji Atakuwa Na Degree Ya Kuomba Bila Shaka Vyuo Vya DodomaUwe na kisirani wewe..uombe msaada kwetu!!!..pambana na omba omba wako😂😂
Mnaomba Cash Watu WanuneTupo mbona
Nipe bas hata wewe, hela ya mwanaume tamu sanaMnaomba Cash Watu Wanune
😄😃😀Umeua Comment Chachu HiiNipe bas hata wewe, hela ya mwanaume tamu sana
Hata mwanaume anajisikia vizuri akimpa mpenzi wake hela, anaona ufahari mwanamke wake akipendeza kwa gharama zake😄😃😀Umeua Comment Chachu Hii
Mleta Mada Akiiona Atavimba Atapasuka
Hasa Kusema Pesa Tamu Hasa Itoke Kwa Mwanaume
Aah km unatoka bila kuomba sawa,haina shida!Kwema wakuu
Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako.
Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na sijawahi gombama nae tena huyu peke ndo alijua udhaifu wangu. Ila hawa wengine bado wanateseka sana maana nakuwa navisirani saana.
Naombeni msaada hii hali siipendi kabisa
Note hela ninazo sema sio nyingi. Ni kiasi
[emoji23][emoji23]mzee wa mbususuBora mzee wa mbususu uongee maana wenzio mbususu wanataka ila wakiombwa hela wanalia
Mzee wa mbususu huyo[emoji1787][emoji1787] hata ukienda jukwaa la uchumi utamkuta anaongelea mbususu[emoji23][emoji23]mzee wa mbususu
Amini kwamb, anae kuomba ela sana ana fake love as vice versa.Kwema wakuu
Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako.
Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na sijawahi gombama nae tena huyu peke ndo alijua udhaifu wangu. Ila hawa wengine bado wanateseka sana maana nakuwa navisirani saana.
Naombeni msaada hii hali siipendi kabisa
Note hela ninazo sema sio nyingi. Ni kiasi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Well said bro mungu akupe maisha maref snaa
Walio kama ww katika mia wawili labda maana mm x wangu jaman alikuwa hatoi pesa yoyote asipoonbwa yaan sitakuja msahau maisha yangu yote, alikuwa mbinafsi Sana, sijuwah muomba peaa jamanii but siku moja nikapata shida , ikabid nimuonbe yy jibu lake ni Sina mara zote,,.sijui kama atakuja dumu nla mwanake,Kwema wakuu
Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako.
Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na sijawahi gombama nae tena huyu peke ndo alijua udhaifu wangu. Ila hawa wengine bado wanateseka sana maana nakuwa navisirani saana.
Naombeni msaada hii hali siipendi kabisa
Note hela ninazo sema sio nyingi. Ni kiasi
Mkimbie mwanamke hawezo tumia akili yake ya kuzaliwa kujitafutia hela yake halali kutatua matatizo yake mwenyewe huyo ni kilaza akakuzalia watoto viazi ndezi majinga jinga
Nashukuru kwetu bimkubwa wangu ni very hard work ana asset kibao hapa mjini na daima ananihusia usioe golikipa katu usioe golikipa.
Na umpime huyo mwanamke akili yake sawa sawa nami nafanya hivyo kwani bimkubwa sio mtu kuzubaa hata chembe mvhakarikaji ile mbaya.
Wanawake badilikeni
Inategemea na uzuri wako na vibes zako kama huna maajabu na ana wengine jiachie ukipenda ni wewe. Je wewe ni pis kali au wewe ndie ulidata kwake?Walio kama ww katika mia wawili labda maana mm x wangu jaman alikuwa hatoi pesa yoyote asipoonbwa yaan sitakuja msahau maisha yangu yote, alikuwa mbinafsi Sana, sijuwah muomba peaa jamanii but siku moja nikapata shida , ikabid nimuonbe yy jibu lake ni Sina mara zote,,.sijui kama atakuja dumu nla mwanake,
A. K. A YamutomboTangu lini ilikuwa bure? Mbunye inanunuliwa refer to mahari
Hata mimi bibi yangu mzaa baba kapanda hii mbegu kwangu kususa kama zote hata mbususukwinyo naiona hii live napiga dole then nasema sepa nayo naicha kweli natoa nauli nasepa au pakiza kwenye gari escort tupa kule, block la nguvu, with money don't click shit, hoopers are in abundance.Mwanaume kabisaa una kisirani??? Au umekosea kuandika ama umemaanisha kitu kingine na sio kisirani??
Kwa kifupi haifai mwanaume kua na kisirani.
🤣🤣A. K. A Yamutombo