Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

Kwema wakuu

Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako.

Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na sijawahi gombama nae tena huyu peke ndo alijua udhaifu wangu. Ila hawa wengine bado wanateseka sana maana nakuwa navisirani saana.

Naombeni msaada hii hali siipendi kabisa

Note hela ninazo sema sio nyingi. Ni kiasi
We mwenyewe pesa unazo au huna?
 
Tena usiombe uwe katika cycle y kuingiza pesa halafu wajue , utakoma ,

Kuna siku 1 niliombwa pesa na wanawake wa 5 , mpaka nikawa najiuliza hivi viumbe vina shida gani aisee' , halafu unakuta wengine hata sio mademu zako , nivile tu wakiona unavaa unapendeza na una mabadiliko fulani ya kiuchumi wanaanza kukusumbua naomba hela naomba hela period
Mwanamke ambae hanipi utamu asiniombe hela.
 
Mwanaume toa hela bwana usisubiri mpaka uombwe.Ukimhudumia huyo mmoja akipendeza tamaa za kuangalia huyu na huyu zinapungua kidogo.Wako kakauka uhudumii unaenda kumtamani Aisha aliyependezeshwa na mwanaume mwenzako.Kuna mtu kasema hapo juu maisha ni magumu muwe waelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sa na wewe wanawake wote watano wa kazi gani? Matatizo mengine mnajitafutiaga wenyewe..ukiweka mazingira ya kumla mbususu lazima utapigwa mizinga.
Mind you, sio wote hao ni wanawake wangu kuwa natiana nao nope, washikaji tu , Ila ndio hivyo
 
Kuna wale ambao ukiwaahid nitakupa kesho,ikifika tu asubuh wanaanza sms za kukumbushia as if wewe umesahau..huwa inakera pia.
 
Back
Top Bottom