Bf Tulinagwe
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 211
- 383
Nene kukaa kbsa kukyengege. Ila tungo ili nikikyala ku iringa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nene kukaa kbsa kukyengege. Ila tungo ili nikikyala ku iringa..
Siwezi kuwa na rafiki kama wewe. Urafiki wa mwanaume na mwanamke ni pale kati tu. Vingine ziada tu.No 3 inanihusu kwa hiyo mabaharia niogopeni, sitaki urafiki na wanawake japo nashirikiana nao kwa Mambo mengi hasa ya kibiashara na kijamii, napenda kuwa na marafiki wa kiume wale wenye mawazo chanya, sio wale wanaowaza ngono kila saa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni hatari Sana
Siwezi kuwa na rafiki kama wewe. Urafiki wa mwanaume na mwanamke ni pale kati tu. Vingine ziada tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nene kukaa kbsa kukyengege. Ila tungo ili nikikyala ku iringa..
Nilkua nae mmoja alikua akija getto anawaomba washkaji watupishe kidogo bila aibu akiwa na ngare hakuna chakumzuia usipokua available muda huo atapigwa tu na pimbi yeyote
Kiburi cha mwanamke au maneno yake yanamalizwa kwa kumpa mgegedo heavyMapenzi uleta upofu na kupotoka , hata pale unapogundua mabaya Una assume atabadilika , kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha
1.Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati,
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo, Mimi mwanaume anipigi kofi"
Katika maongezi ukasikia maneno hayo ogopa sana
2.Mwanamke ambaye aogopi walezi au wazazi
"Tangulia ntakukuta umeshanishtaki,Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye, Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda Sana mwananume huyu"
3.Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake
"mi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"
Huyo Muogope
4.Mwanamke anayeshindwa kujali Muda hana care yeyote na wewe unasimama sehem masaa matatu kumsubiri ye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote, huyo muogope
5.Ukikutana na washikaji ye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo
6.Mwanamke mkienda out akatawala bill, "mnauzaje hapa, wahudumu mbona mnakaa mbali,Hesabu vizuri wasituibie chenji"
7.Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaan Konyagi Bapa, Hatari
8.Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja tu anailamba lamba tu ogopa.
Thank me later
Britannica
Na wanaovaaa Baibui muda wote, wengine unakuta ndani majangaOgopa sana mwanamke anaevaa WIGI.
Ipi imekugusa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahhahahahahahahhaha dahMi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Hahahaha hahahaha hahahaha nimecheka sanaaaa, alitakiwa haolewe na kina General Qassem Soleiman.Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Moja[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] sitaki kupigwa mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipi imekugusa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi kuna mmoja niliachana nae maana dah dem eti haogopi mkiwa mnaangalia horror movies. Kuna wale mkiwa mnaangalia movie kama hii kuna matukio anaogopa kuangalia anajificha nyuma ya mgongo wako au anakulalia mapajani anakwambia utanisimlia hapo nini kilitokea ila huyu wangu anakodoa tu macho watu wanatobolewa utumbo au ubongo na mazombie ye uso mkavu hafichi ata uso kwa mikono. Nikasema we kaolewe na majenerali wa vikundi vya waasi kongo huko ndo mnawezana
Kwaiyo washikilie tatu tatu au?
Duh, itakua namba siete.Moja[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] sitaki kupigwa mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh, itakua namba siete.