Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Mwanamke akionesha dalili au tabia hizi achana naye

Mapenzi uleta upofu na kupotoka , hata pale unapogundua mabaya Una assume atabadilika , kumbe inakuwa makusudi ya Mungu kukuonesha

1.Mwanamke ambaye anapenda uanaharakati,
"Mimi sipendi mtu anyanyaswe, mimi hawawezi nifanyia hivyo, Mimi mwanaume anipigi kofi"

Katika maongezi ukasikia maneno hayo ogopa sana

2.Mwanamke ambaye aogopi walezi au wazazi
"Tangulia ntakukuta umeshanishtaki,Nilimwambia mama kuwa atakayepokea barua na mahali/maali ataolewa yeye, Kwani mi ndo msichana pekee mwambie akamuoe dada kama mnampenda Sana mwananume huyu"

3.Mwanamke mwenye marafiki wa Kiume wengi zaid ya wanawake
"mi sipendagi kampani ya wanawake maana hatupendani"
Huyo Muogope

4.Mwanamke anayeshindwa kujali Muda hana care yeyote na wewe unasimama sehem masaa matatu kumsubiri ye anadhani neno SORRY linafuta mateso ulosimama masaa yote, huyo muogope

5.Ukikutana na washikaji ye akawa muongeaji na kutawala mazungumzo , ogopa sana huyo

6.Mwanamke mkienda out akatawala bill, "mnauzaje hapa, wahudumu mbona mnakaa mbali,Hesabu vizuri wasituibie chenji"

7.Mwananke anayekunywa kinywaji kigumu yaan Konyagi Bapa, Hatari
8.Mara Nyingi unamkuta kaunta na Bia moja tu anailamba lamba tu ogopa.

Thank me later

Britannica
Mwanamke mwenye kadi ya ccm anaingia kwenye kundi gani ?
 
Back
Top Bottom