Mwanamke gani unajua kila kitu
Ligi zote za mpira unajua team mpaka za kina Brigham city ,Blackburn rovers fc za championship unajua mpaka first eleven statically data zote unazo unawajua mpaka premier league all time top scorer
Unajua karibia application zote kwenye simu za kubeti na unabeti Mara upo sportpesa ,betpawa,superbet etc yaani taafrani kwenye simu unakuta anayozo mpaka application za kufuatilia mpira Mara footmob ,Mara livescore dar aisee ,unakuta sio mpira tu wengine wanampaka application za PUGB
Mwanamke kila muvi unazijua iwe horror ,SciFi ,fantasy na wala huziogopi kabisa umekosa kabisa ile haiba ya kike yaani unaangalia mpaka series za witcher ,Messiah, strike back badaya ya kuangalia hizo love story za kikorea na hauko emotional kabisa haulii hovyo hauna machozi ya karibu
Unajua mpaka kiundani mgogoro wa Iran na united states mwanamke unajua kuichambua vzur brexit mwanamke unajua kiundani migogoro ya Arab middle east dah unachambua kabisa mafumbo yaliyopo kwenye picha ya polymath leornado da Vinci ile ya monalisa unajua mpaka myth ya shread of Turin dadekii na mambo kibao na makitu kitu mengine huko
Mwanamke unapenda boxing na unaicheza hadi karate unajua kila aina ya vifaa vya vita kila silahaa na zile ambazo ni common kwa vyombo vya ulinzi vya nchi yetu kama SMG ,SAR, daah ugundue nini unataka unitoe roho
Huo juu ulikuwa utani tu Mimi mwenyewe sjui mnatakiwa muweje mi na deal na pombe tu
Sent using
Jamii Forums mobile app