Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake.

Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua.

Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake.

Wengine hawawezi kabisa kutoka pekee yao kwenda kujirusha, ataokoteza mwanamke yeyote tu huko viwanjani ndipo aone ladha ya pesa zake!

Mi ndo natoka hivi, tukutane viwanjani tule maisha.
 
Umepata 100%
 
Mwanamke akipata mshahara anafikiria kufanya shopping yake na kusaidia kwao.

Mwanaume akipata mshahara anafikiria madeni na majukumu ya nyumbani.

Halafu tuna msemo wetu nani kaniroga wakati jini unalo ndani linakunyonya tuuuu🤣🤣
Kumaanisha nini
 
Wanawake wapo ili wanaume tufarahi. Ni wewe kuamua tu mtindo wa kufurahia uwepo wao. Ukipata pesa zako kihalali tumia utakavyo ila usisahau ndoto ya yule jamaa kwenye biblia ya ng'ome walionona na ng'ombe waliokonda.
 
Wanawake wanatumia wanaume kama mtaji tu, kwa maslahi yao binafsi.
 
Back
Top Bottom