Umepata 100%Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake.
Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua.
Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake.
Wengine hawawezi kabisa kutoka pekee yao kwenda kujirusha, ataokoteza mwanamke yeyote tu huko viwanjani ndipo aone ladha ya pesa zake!
Mi ndo natoka hivi, tukutane viwanjani tule maisha.
Kumaanisha niniMwanamke akipata mshahara anafikiria kufanya shopping yake na kusaidia kwao.
Mwanaume akipata mshahara anafikiria madeni na majukumu ya nyumbani.
Halafu tuna msemo wetu nani kaniroga wakati jini unalo ndani linakunyonya tuuuu🤣🤣
Nani? Wewe? Kumtumia mtu 300k ya kodi? Okeee🙄Duh! Muda si mrefu nimetoka kumtumia mtoto wa mtu 300k ya kodi.