Mwanamke akishaanza kuona hastaili kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo

Kilimo ni biashara ya watu wenye pesa sio masikini. Kwanza unatakiwa uwe na shamba kabla ya kuanza kulima
Yeah ni kweli, ( kilimo) nimetolea mfano tu mkuu, kazi za kufanya zipo nyingi sana haoa Tz... Hatuwezi kubariki umalaya kisa tu kazi za kufanya hamna hilo siyo kweli.
 
Ndio maana nikasema hawana elimu wala huwezo wa kufikiri na jamii omewakataa.
Kwa sisi tuliozaliwa Tandika kichwa chako kinatakiwa kiwe kina huwezo wa kuangalia maisha tofauti na wengine ili ujikwamue. Sio madada tu kule mpaka kaka zao bado wanaishi maisha yaleyale tuliozaliwa nayo. Hali ni mbaya sana ndio maan wanaishia kwenye uraibu na uzinzi.
 
Swadakta umesema kweli kabisa
 
Back
Top Bottom