ππKajipanga kumsapraizi, kasapraiziwa yeye π π
Umalaya waachiwe wenyewe?
Nyafwili hata jina linasadifu.Sema huu ung'eng'e sijaelewa chochote kile π΄π΄π΄π΄
Ni uvivu tu wa kulima.... Hawana lolote la kusema maisha magumu(uwezo wa kufikiri) ..
Yeah ni kweli, ( kilimo) nimetolea mfano tu mkuu, kazi za kufanya zipo nyingi sana haoa Tz... Hatuwezi kubariki umalaya kisa tu kazi za kufanya hamna hilo siyo kweli.Kilimo ni biashara ya watu wenye pesa sio masikini. Kwanza unatakiwa uwe na shamba kabla ya kuanza kulima
Nyafwili = hamna kitu kichwani ππNyafwili hata jina linasadifu.
Yeah ni kweli, ( kilimo) nimetolea mfano tu mkuu, kazi za kufanya zipo nyingi sana haoa Tz... Hatuwezi kubariki umalaya kisa tu kazi za kufanya hamna hilo siyo kweli.
Swadakta umesema kweli kabisaNdio maana nikasema hawana elimu wala huwezo wa kufikiri na jamii omewakataa.
Kwa sisi tuliozaliwa Tandika kichwa chako kinatakiwa kiwe kina huwezo wa kuangalia maisha tofauti na wengine ili ujikwamue. Sio madada tu kule mpaka kaka zao bado wanaishi maisha yaleyale tuliozaliwa nayo. Hali ni mbaya sana ndio maan wanaishia kwenye uraibu na uzinzi.