Ha ha ha ha ha mim Mngoni mzee nataka kuja kukutembelea homeSamahani wangoni.
Ila wanaongoza kwa kula wake za marafiki zao.
Tusiwaamini hawa marafiki zetu hasa tuliowafanya ndugu. Tunajisahau nankuwaona ndugunzetu.
Juzi mmoja kanipiga ila sio masuala ya mapenzi.
Samahani wangoni.
Ila wanaongoza kwa kula wake za marafiki zao.
Tusiwaamini hawa marafiki zetu hasa tuliowafanya ndugu. Tunajisahau nankuwaona ndugunzetu.
Juzi mmoja kanipiga ila sio masuala ya mapenzi.
Utamsababishia hiyo siku asiende hata kazini ili kumlinda mkeHa ha ha ha ha mim Mngoni mzee nataka kuja kukutembelea home
DuhShost alicheat na mzungu kazini kwao, kama huyo wako alitaka kujua ladha ya nyeupe. Wenye nia njema walimfahamisha mumewe. Shost alikataa katakata.
Mume alikuja na mistari, mimi na wewe ni mwili mmoja tusifichane. Ndipo alipolainika akafunguka
Tangu afunguke, ndoa yake haina afya njema. Mume anaweza kurudi asubuhi anamwambia nilikuwa ninatest kitu kipya
HahahMimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Naunga mkono hoja!!!Mimi ndiyo maana nacheat kila nikipata chansi kwakua kazi yangu ni kulipiza visasi hata visivyonihusu. Mfano kwa huu mkasa wako natangaza vita na wanawake wa Ruvuma, itaisha baada ya wiki mbili.
Wa kunyumba??Tutake radhi Castr
Mzee tutakutana nje sio hapa.Ha ha ha ha ha mim Mngoni mzee nataka kuja kukutembelea home
Ni ke mkuuWe Ke au Me?
Ha ha ha ha Mzee hatuaminian kabisa aiseeMzee tutakutana nje sio hapa.
Ha ha ha ha Wangoni sio watuUtamsababishia hiyo siku asiende hata kazini ili kumlinda mke
Mzee kama unarafiki wa kingoni chunga saana.Ha ha ha ha Mzee hatuaminian kabisa aisee
Nmeish sana na wangoni mzee nawajua vizur mnoo ukiacha wanawake kinachofuatia ni pombeMzee kama unarafiki wa kingoni chunga saana.
Na wengi ni matozi kama wakongo. Unakuta mzee mzima bado ana mambo ya ujana.
Ulizia mtaani watakuambia.
Shost alicheat na mzungu kazini kwao, kama huyo wako alitaka kujua ladha ya nyeupe. Wenye nia njema walimfahamisha mumewe. Shost alikataa katakata.
Mume alikuja na mistari, mimi na wewe ni mwili mmoja tusifichane. Ndipo alipolainika akafunguka
Tangu afunguke, ndoa yake haina afya njema. Mume anaweza kurudi asubuhi anamwambia nilikuwa ninatest kitu kipya
Yeye huyo amejaribu wangapi na je alikuwa bikira alipokutana na huyo dada? Au tuseme mwanamke kama alivyomuita.Akili zao wanazijuaga wenyewe hawa viumbe, eti nilitaka kujaribu....
Ila pole sn kaka maan mke anauma kw kwel!
Hawa pend I kushare kitumbua hawa, tena hata cha mchepuko ana wivu nacho usiseme mke wa ndoa