Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

Aisee ndo mana vitu vingine tunaambiwa km ni mzizi wa fitina bora uukate tu hamna kuogopa mtu kosa la wengine likakuharibia maisha Pole sana mkuu.
 
 
The same Story kama ninayopitia. Naamini ipo siku, nitakuja na ushuhuda.
 
Shukuru maana sana aliondoka na kila kitu hakukuachia mzigo wowote, ukawa huru....
 
Lastmost
 
Ngoja Sasa nipitie hii habari, shukrani Sana
 
Mwanaume mwenye akili timamu hauwezi kamwe kumdhamini mwanamke hata siku moja , wao huangalia maslahi yao Tu, ukipata tatizo linakuhusu wewe ndio maana ukipata elfu kumi weka elfu tano pembeni , nenda na elfu tano halafu mpe elfu nne muombe elfu moja kama matumizi yako atakubali kwahiyo hiyo moja jumlisha Ile tano unakua na sita , jifanye unacare Sana, tabasam la uongo na kweli siku mambo yakiharibika anaondoka anajua kakukomesha kumbe Ile sita inakua jeuri yako anakuja kustuka wewe uko mbali Sana sana
 
Hii nimeielewa sana mkuu
 
Hii nimeielewa sana mkuu
Huu ndio hua utaratibu wa kiume maisha yako yote , mwanamke hawezi kukupenda maana Hana uchungu na wewe, jiulize wangapi ashawaacha , na hata ukikutana na mwanamke akaanza kumponda mwanaume mwenzako alieachana nae wewe jikaushe Tu usiseme lolote maana hata mke wako mtu angemsikiliza bila kukusikiliza angekuona unamuonea
 
Pole sana mkuu hao ndio wanawake, ukiwajua wanawake umeyajua maisha ni rahisi sana mwanaume kuishi na mwanamke asiye na kazi ila ni ngumu sana mwanamke kuishi na mwanaume asiyekuwa na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…