Mwanamke aliyeathirika.!

Mwanamke aliyeathirika.!

Cha muhimu ukimpata tafuteni ushauri ili muweze kukutana kimwili kwa tahadhari. Sababu najua kuna vijidudu nadhani aina mbili kama kunazaidi sijajua bado. Ila mkiwa na vijidudu aina tofauti mkalala bila kinga mtachanganya miili yenu na kuugua zaidi na kushindwa kumudu muda mrefu. Ningekuwa najua zaidi ningeandika ila please uliza upate ushauri as wengi wanajisahau au hawajui hili jambo na maisha yao hata kama dawa zilikuwa zinakubali kuwaweka vizuri baadae zinashindwa. Hope u find someone najua kisaikolojia inasaidia wengi na wanaishi kwa furaha bila matatizo ikija kwenye afya.
 
Pole na hongera kwa ujasili,,, kuna mtu namfaham but ana 27.

Yupo ndani ya vigezo ili mradi awe na at least some of vigezo hapo juu. Nimesema less than 30. Unaweza kumconnect if she feelz to live with someone na tukamatch. Asiwe pasua kichwa tafadhali. Kuna watu ukiishi nao kila siku ni shida ndani ya nyumba.
 
Cha muhimu ukimpata tafuteni ushauri ili muweze kukutana kimwili kwa tahadhari. Sababu najua kuna vijidudu nadhani aina mbili kama kunazaidi sijajua bado. Ila mkiwa na vijidudu aina tofauti mkalala bila kinga mtachanganya miili yenu na kuugua zaidi na kushindwa kumudu muda mrefu. Ningekuwa najua zaidi ningeandika ila please uliza upate ushauri as wengi wanajisahau au hawajui hili jambo na maisha yao hata kama dawa zilikuwa zinakubali kuwaweka vizuri baadae zinashindwa. Hope u find someone najua kisaikolojia inasaidia wengi na wanaishi kwa furaha bila matatizo ikija kwenye afya.

Nashukuru kwa ushauri wako mkuu. Taken and will be applied.
 
Yupo ndani ya vigezo ili mradi awe na at least some of vigezo hapo juu. Nimesema less than 30. Unaweza kumconnect if she feelz to live with someone na tukamatch. Asiwe pasua kichwa tafadhali. Kuna watu ukiishi nao kila siku ni shida ndani ya nyumba.

Kama uko siriaz ni pm,,,, hayo mengine mtasomana ukiona hafai unapiga chini!!!!!!!!!
 
Hamira??!si neno zuri,hujaumbika bado wewe
Sina nia mbaya mkuu ndo mana hata mwenyewe amenielewa nilipowekea apostrophe
Everyone is a victim of this disaster kama sio kwako basi kwa jirani au dada yako etc I know
 
Wakati naenda kufanya HIV test nilimuuliza counselor hilo swali kwamba in case majibu yakiwa positive nitampata wapi mwenzangu wa kufanya nae maisha, counselor akanijibu kuna vikundi vingi vya positive people na mnakutana na kushauriana jinsi ya kupambana na changamoto za maisha na hapo ni sehemu rahisi ya kukutana na mwenza ili uandae maisha..

Na pia kwa Wanaume wenye tabia ya ku dump wadada eti sio wife material naombeni muiache maana hujafa hujaumbika, ukikutana na changamoto kama hii utamtafuta mwenza kwa shida sana maana itabidi umpate aliye kama wewe ambapo sio wengi kiivyo..

Kaka uliyesema anatumia "HAMIRA" umenikera sana, tema mate chini maana maisha ni tofauti na unavyodhani..

Na hata waliopata hawana tofauti yeyote na kina sisi, maaana hata humu nani hajawai fanya unprotected sex? Ambayo ndio kama hiyo hiyo iliyosababisha wengine wapate hiv.. Ni Mungu tu anakuepushia..

Kwanza siajabu wengine hata Kupima hamjapima ila mnamsema kamanda hapo juu wakati hata nyinyi mnavyo..

A posibilities of an HIV free generation begins with you.
 
Pole na hongera kwa uamuzi wako mgumu wa kujitangaza. jamani mwekundu hajakosea kwa kuwa neno "hamira" ni popular watu hulitumia kufupisha neno 'dawa za kupungunguza maambukizi ya ukimwi'. Is not unyanyapaa at all
 
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu, miaka<30,mkristo(kupunguza mivutano ya kifamilia), muelewa, beautiful, asiwe pasua kichwa(tutaongezeana stress),mpenda maendeleo na asiwe kwenye stage za mwisho. Kuhusu mimi: mweupe,mrefu, sio mnene wala sio mwembamba, mkristo, muajiriwa, elimu ya chuo na ninajitegemea. Note: nahitaji mwanamke na sio msichana, kama upo au unamfahamu mtu unaweza kumcônnect naye. Pia yeyote aliye tayari kuwa nami unakaribishwa, nitakulinda wakati wote. Asanteni!

Sasa mkuu hujatuelezea lengo lako la kutaka kuwa na huyu muhathika mwezako. Lengo ni kupata msaada maswala.ya unyumba au? Jebu funguka.zaidi upate ushauri.
 
Kama hutapata,jaribu na kwenda kuwasiliana na madokta wanaohusika na ugawaji wa hizi dawa za Arv's mahospitalin wanaweza kukuunganisha na wateja wao wa kike.coz hawa wanafahamu kwa kina pindi waijiapo dawa hizo.kila la kheri mkuu.
 
Mkuu nipo kama nilivyo, am still healthy monitoring my cd4. Sijaanza kutumia hizo unaita we hamira. Mwanamke yeyote akiniona na haya ninayoyasema hawezi kukubali. I decided not to infect others coz its painful as i felt at first point.

So sad... Stay stronger and health..! Good luck!
 
Kama hutapata,jaribu na kwenda kuwasiliana na madokta wanaohusika na ugawaji wa hizi dawa za Arv's mahospitalin wanaweza kukuunganisha na wateja wao wa kike.coz hawa wanafahamu kwa kina pindi waijiapo dawa hizo.kila la kheri mkuu.

Wasije wakanigeuza story kwenye vijiwe vyao vya kunywa bia. Madaktari wa siku hizi hawatunzi siri za wagonjwa kabisa!
 
Back
Top Bottom