- Thread starter
- #21
Hongera mkuu mungu akujalie moyo huo huo, ni wachache sana wenye moyo wa ukweli na jasiri kama wew..
Asante mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu mungu akujalie moyo huo huo, ni wachache sana wenye moyo wa ukweli na jasiri kama wew..
Nashukuru, i hope atapatikana nitakayeendana naye.
Pole na hongera kwa ujasili,,, kuna mtu namfaham but ana 27.
Cha muhimu ukimpata tafuteni ushauri ili muweze kukutana kimwili kwa tahadhari. Sababu najua kuna vijidudu nadhani aina mbili kama kunazaidi sijajua bado. Ila mkiwa na vijidudu aina tofauti mkalala bila kinga mtachanganya miili yenu na kuugua zaidi na kushindwa kumudu muda mrefu. Ningekuwa najua zaidi ningeandika ila please uliza upate ushauri as wengi wanajisahau au hawajui hili jambo na maisha yao hata kama dawa zilikuwa zinakubali kuwaweka vizuri baadae zinashindwa. Hope u find someone najua kisaikolojia inasaidia wengi na wanaishi kwa furaha bila matatizo ikija kwenye afya.
Pole jembe,kila la kheri mkuu.
Yupo ndani ya vigezo ili mradi awe na at least some of vigezo hapo juu. Nimesema less than 30. Unaweza kumconnect if she feelz to live with someone na tukamatch. Asiwe pasua kichwa tafadhali. Kuna watu ukiishi nao kila siku ni shida ndani ya nyumba.
Kama uko siriaz ni pm,,,, hayo mengine mtasomana ukiona hafai unapiga chini!!!!!!!!!
Sina nia mbaya mkuu ndo mana hata mwenyewe amenielewa nilipowekea apostropheHamira??!si neno zuri,hujaumbika bado wewe
Mimi ni mwanaume nahitaji mwanamke ambaye ni HIV+ ili tuweze kuishi pamoja kwa muda ambao Mungu atatujalia. Sifa zake: Awe ameajiriwa au kujiajiri, mweupe/maji ya kunde, mrefu, miaka<30,mkristo(kupunguza mivutano ya kifamilia), muelewa, beautiful, asiwe pasua kichwa(tutaongezeana stress),mpenda maendeleo na asiwe kwenye stage za mwisho. Kuhusu mimi: mweupe,mrefu, sio mnene wala sio mwembamba, mkristo, muajiriwa, elimu ya chuo na ninajitegemea. Note: nahitaji mwanamke na sio msichana, kama upo au unamfahamu mtu unaweza kumcônnect naye. Pia yeyote aliye tayari kuwa nami unakaribishwa, nitakulinda wakati wote. Asanteni!
Mkuu nipo kama nilivyo, am still healthy monitoring my cd4. Sijaanza kutumia hizo unaita we hamira. Mwanamke yeyote akiniona na haya ninayoyasema hawezi kukubali. I decided not to infect others coz its painful as i felt at first point.
So sad... Stay stronger and health..! Good luck!
Kama hutapata,jaribu na kwenda kuwasiliana na madokta wanaohusika na ugawaji wa hizi dawa za Arv's mahospitalin wanaweza kukuunganisha na wateja wao wa kike.coz hawa wanafahamu kwa kina pindi waijiapo dawa hizo.kila la kheri mkuu.