Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
9,938
Reaction score
15,987

Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi​

Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.

Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.​
 
Aje bara afungue kanisa lake wajinga wapo wengi atapiga sana hela
 
Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi​

Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.

Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.​
Nchi ya vituko, Mtume mwanamke Zanzibar, Mungu Zumaridi Mwanza, Kuna wakati najihisi Mimi naweza nikawa ndo shetani, sijui nijitangaze
 
Huyo alikosea, angukuja Tanganyika huku angelishakua tajiri, Zanzibar hawanaga ujinga huo wa kuwapa pesa mitume.
 
Back
Top Bottom