Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi

Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi

Kama ni mtume wa Waislam aje hivyo hivyo bara aone kitakachompata, hizo entertainment hazifanyi kazi kwenye uislam zinafanya kazi kwenye ukristo tu.
Acha vitisho na u keyboard warrior

Huku bara Kuna jamaa hapo Kibaha anajiita Nabii ilyaasa ,mlimfanya nini tena ana maswahaba

Kina mufti na sheikh wa Dar Es Salaam walimuita kikao mkamshindwa mpaka Leo anapiga porojo zake kwenye mitandao na anajiita Nabii ilyaasa
 
Mbona kuna watu wanajiita Rais, Waziri, Jaji, Hakimu, Mwalimu, Generali, Ulimwengu nk hawakamatwi
 
Wanamuonea tu. Huyo ni mtume kabisa hana hila ndani yake.

Wao hawajalazimishwa wamuamini. Kwa nini wamkamate?
 
Wanamuonea tu. Huyo ni mtume kabisa hana hila ndani yake.

Wao hawajalazimishwa wamuamini. Kwa nini wamkamate?
Ila ana akili anavyojibu maswali waislamu wakubali tu kuwa huyo mtume wao

Waache porojo
 

Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi​



Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.

Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.​
Wananchi wa hiyo shehia nao wakamatwe kwa kutumia jina "UHOLANZI"
 
Back
Top Bottom