Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi

Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi

Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi​



Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.

Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.​

Wakrisfo tunafeli sana, oneni wenzetu walivyo serious na utaratibu
 
Huyo ni muislamu hawezi fungua kanisa labda msikiti.Yeye ni mtume wa waislamu sio wakristo
Kama ni mtume wa Waislam aje hivyo hivyo bara aone kitakachompata, hizo entertainment hazifanyi kazi kwenye uislam zinafanya kazi kwenye ukristo tu.
 

Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi​



Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.

Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.​
Imani za dini ni ujinga mkubwa sana. Sasa hao majirani wamekasirika kiasi cha kutokwa machozi kwa kisa hicho, kwani mitume mbona Dar wamejaa sana tu! Sema ndugu zangu wafia dini hawaamini kama kuna mtume mwanamke!! Kama kweli ni mtume wao wanakataa kwa nini!!?
 
Ukiona mitaa ya Zanzibar inapewa majina ya nchi za kizungu jua tu kuna uchafu mkubwa san unafachika apo mtaani 😀
 
Alikosea mahali pa kujitangaza tu, angekuja bara huku apige pesa


Huko atarambwa bakora.
 
Mbona wanaibiwa pesa huko mecca ,na zinaenda kununua timu za mipira na wachezaj makafiri

Ipo ndani ya maelekezo yao ya Quran, sisi mambo mengi yanayofanyika ni tofauti na maagizo
 
Huo ni mtazamo wako, as long as wameamua kuufuata Uislam wanapofuata kitabu chao tunawaheshimu,
Wanafata mambo ya ajabu lazima tuhoji na tupinge
FB_IMG_1742568209309.jpg
 
Wewe unielewi, una haki ya kuwahubiria wa Islam kwa Upendo wampokee Yesu, Huna haki ya kupambana na utaratibu wao wa Ibada, hata Biblia can be challenged in a way na wa Islam
Kwahiyo hapo wametukanwa
 
Majasusi w Bongo akili kubwa!

"Sasa madam kama yule ni mtume kakamatwa wewe utakuaje ...mwanamke!!?

Oktoba tuna tick!
 
Back
Top Bottom