Na hawabugudhiwi na mtu yoyote wanaendesha ibada zao za kitume kila siku 🤣Aje bara huku ajumuike na mitume wenzake+manabii
Wako zaidi 1000
Ova
Mke wa Mwamposa kachungulia fursa Zenji si huku yule Bibi anafungua mahema basi Mtume Mwanamke ametokea kwao huko akamfungulie Hema na yeye sio sio au ndio?Mtume wa Waislamu au kama akina Mwamposa? 🐼
Wa waislamuMtume wa Waislamu au kama akina Mwamposa? 🐼
Apewe mahali pa kujengea hema haraka. Ndiyo kama mwamposa. Ikiwezekana apewe vile viwanja vya gwajima pale ubungo.Wa waislamu
Wanamuonea tu wacheni apige pesa kama kina Mwamposa
Ndiyo haya aliyakataa Mtikila
Shida iko wapi? Hajalazimisha mtu yeyote kuamini kwamba yeye ni mtume. Ni suala la kumpuuza tu!
Kuna hadi shehe wafundisha waislamu kunywa pombeBara kuna hadi mungu zumaridi.
🤣🤣🤣 Ila Jf 🤔🙌🤣Huko Serikali Yao anaanza Mudi anafuata Mwinnyi.
Nchi ya vituko, Mtume mwanamke Zanzibar, Mungu Zumaridi Mwanza, Kuna wakati najihisi Mimi naweza nikawa ndo shetani, sijui nijitangazeMwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi
Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.
Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.
Huyo ni muislamu hawezi fungua kanisa labda msikiti.Yeye ni mtume wa waislamu sio wakristoAje bara afungue kanisa lake wajinga wapo wengi atapiga sana hela