Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi
Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.
Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.
Kama ni mtume wa Waislam aje hivyo hivyo bara aone kitakachompata, hizo entertainment hazifanyi kazi kwenye uislam zinafanya kazi kwenye ukristo tu.Huyo ni muislamu hawezi fungua kanisa labda msikiti.Yeye ni mtume wa waislamu sio wakristo
Imani za dini ni ujinga mkubwa sana. Sasa hao majirani wamekasirika kiasi cha kutokwa machozi kwa kisa hicho, kwani mitume mbona Dar wamejaa sana tu! Sema ndugu zangu wafia dini hawaamini kama kuna mtume mwanamke!! Kama kweli ni mtume wao wanakataa kwa nini!!?Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi
Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.
Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.
Jitangaze tuNchi ya vituko, Mtume mwanamke Zanzibar, Mungu Zumaridi Mwanza, Kuna wakati najihisi Mimi naweza nikawa ndo shetani, sijui nijitangaze
Mbona wanaibiwa pesa huko mecca ,na zinaenda kununua timu za mipira na wachezaj makafiriWakrisfo tunafeli sana, oneni wenzetu walivyo serious na utaratibu
Mbona wanaibiwa pesa huko mecca ,na zinaenda kununua timu za mipira na wachezaj makafiri
huenda hawana kaziShida iko wapi? Hajalazimisha mtu yeyote kuamini kwamba yeye ni mtume. Ni suala la kumpuuza tu!
Quran ni utapeli wa waarabu kupiga pesaIpo ndani ya maelekezo yao ya Quran, sisi mambo mengi yanayofanyika ni tofauti na maagizo
Quran ni utapeli wa waarabu kupiga pesa
Wanafata mambo ya ajabu lazima tuhoji na tupingeHuo ni mtazamo wako, as long as wameamua kuufuata Uislam wanapofuata kitabu chao tunawaheshimu,
Wanafata mambo ya ajabu lazima tuhoji na tupinge View attachment 3399241
Kwahiyo hapo wametukanwaWewe unielewi, una haki ya kuwahubiria wa Islam kwa Upendo wampokee Yesu, Huna haki ya kupambana na utaratibu wao wa Ibada, hata Biblia can be challenged in a way na wa Islam
Mtume SalamaAje bara afungue kanisa lake wajinga wapo wengi atapiga sana hela
Ushaambiwa aliwasiliana na MuftiMtume wa Waislamu au kama akina Mwamposa? [emoji209]
Kwahiyo hapo wametukanwa