Acha vitisho na u keyboard warriorKama ni mtume wa Waislam aje hivyo hivyo bara aone kitakachompata, hizo entertainment hazifanyi kazi kwenye uislam zinafanya kazi kwenye ukristo tu.
Ila ana akili anavyojibu maswali waislamu wakubali tu kuwa huyo mtume waoWanamuonea tu. Huyo ni mtume kabisa hana hila ndani yake.
Wao hawajalazimishwa wamuamini. Kwa nini wamkamate?
Wananchi wa hiyo shehia nao wakamatwe kwa kutumia jina "UHOLANZI"Mwanamke aliyejitangaza kuwa yeye ni mtume Zanzibar akamatwa na Polisi
Mwanamke mmoja huko Zanzibar, aliyekua katika Shehia ya Uholanzi, mtaa wa Kurasini amekamatwa na polisi baada ya kudai kuwa yeye ni mtume. Mwanamke huyo alikuwa amejifungia kwenye chumba hadi polisi walivyomfuata. Mwanamke huyo alifika Zanzibar zaidi ya miaka kumi iliyopita na aliwasiliana na ofisi ya Mufti.
Watu waliokuwa wanapinga suala hilo wamepinga suala la mtume kuwa mwanamke.
Kwani kujitangaza kuna kosa gani? Kama humwamini unaachana nae siyo kumfuatafuata.Wakrisfo tunafeli sana, oneni wenzetu walivyo serious na utaratibu