Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Watanzania sisi wanafiki sanaKama kikwete,mkapa,na mwinyi wangekuwa mafisadi kama jpm,tanzania tungekuwa mbali sana,kwa juhudi za huyu fisadi jpm,kajenga viwanja vya ndege,meli kila ZIWA,kanunua ndege 9,kajenga hospatali kila kata,watoto elimu bure,mikopo chuo kikuu imeongezeka,miradi mikubwa km bwawa la nyerere,reli ya mwendokasa,vyoote hivi kavifanya kwa mda mfupi wa miaka 5 tuu,hakika ufisadi wake ulikuwa na manufaa kwa nchi,JPM RIP, HAKIKA HATUTAKUSAHAU WATANZANIA,