Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

Inaonyesha awamu zote marais waliweza kutaka wapendalo liwekwe wazi. Naamini ya kabla yalikuwa na majanga makubwa zaidi.
 
Atachafuliwa ili aonekane hakufaa...ila ipo siku tutamkumbuka...tukubali tukatae...

Ipo siku...
Mataga msimu wa embe umeisha mtakonda na kufa kwa njaa
Screenshot_20210409-074739_Twitter.jpeg
 
Hiki kilichopo kwenye report ya mwaka huu bila shaka hakitofautiani saaana na yaliyokuwemo kwenye report ya mwaka jana

Tukijua tangu mwaka hana ATCL inaingiza hasara. Kuna 1.5trl ilipotea bila maelezo. Miradi kadhaa kama Chato airport watu walizuoa isikaguliwe etc etc. Prof. Assad alijaribu kufukunyua na waliishia kumshikisha adabu tu ili kumkomoa

Huu wizi heavy upo tangu enzi za Mkapa. CCM ni ile ile...
 
Sawa naelewa..ila kazi yake inaonekana,na sidhani kama kuna kiongozi anaweza kufanya kama aliyofanya jamaa,ndani ya miaka mitano kiwalani imebadilika jamaa, si utani..lami quality jamaa siyo ya kubahatisha,ndo maana tunaposikia haya maneno tunashangaaa
Sasa mkuu wewe Rami ya kiwalani ndo inakutoa akili hivo? Wale aliowaibia korosho zao asiwalipe unafikiri wanajisikiaje?
 
Sasa mkuu wewe Rami ya kiwalani ndo inakutoa akili hivo? Wale aliowaibia korosho zao asiwalipe unafikiri wanajisikiaje?
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa!!??.. vijana,mimi nazungumzia Mimi nitakavyomkumbuka, kama mkazi wa kiwalani, habari za korosho mimi sizijui ndugu yangu, sina chochote ninachojua kuhusu korosho, nitahukumuje ndugu yangu?.. ninashukuru nilichokiona na kikanisaidia ndugu yangu, habari za korosho zinawahusu wakulima wa korosho, kupitia ile miundombinu mimi maisha yangu yamerahisika..mbona hatuelewani!
 
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa!!??..vijana,mimi nazungumzia Mimi nitakavyomkumbuka,kama mkazi wa kiwalani,habari za korosho mimi sizijui ndugu yangu,sina chochote ninachojua kuhusu korosho,nitahukumuje ndugu yangu?..ninashukuru nilichokiona na kikanisaidia ndugu yangu,habari za korosho zinawahusu wakulima wa korosho,kupitia ile miundombinu mimi maisha yangu yamerahisika..mbona hatuelewani!
Hapo unafurahia hiyo miundo mbinu ya Ilo eneo inawezekana umepangisha.

Kuna waliolipa gharama ya kuvunjiwa nyumba zao na bwana yule bila malipo kwa ajili ya hizo miundo mbinu, wao wanalia we unafurahi.
 
Mimi sikuwa muumini wa Magufuli, lakini naomba kuwaeleza kwa body language ya mwanamke aliyekaa karibu na CAG inasema yote
ripoti ya CAG imejaa siri nzito na siku si nyingi tutaona kuna nini nyuma ya hii report

Huyo mama aliyekaa karibu na msoma repoti simfahamu lakini hisia zangu zinaenda mbali zaidi na kuniambia kuna kitu kwenye hii repoti

Mtazame vizuri utagundua!

View attachment 1747307
Kama ww mwenyewe hujasema umegundua nn unatupa sisi kazi wewe kama nani? Tulieni sindano ziwaingie mburula nyie mliozoea kudanganywa kama watoto

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kama kikwete,mkapa,na mwinyi wangekuwa mafisadi kama jpm,tanzania tungekuwa mbali sana,kwa juhudi za huyu fisadi jpm,kajenga viwanja vya ndege,meli kila ZIWA,kanunua ndege 9,kajenga hospatali kila kata,watoto elimu bure,mikopo chuo kikuu imeongezeka,miradi mikubwa km bwawa la nyerere,reli ya mwendokasa,vyoote hivi kavifanya kwa mda mfupi wa miaka 5 tuu,hakika ufisadi wake ulikuwa na manufaa kwa nchi,JPM RIP, HAKIKA HATUTAKUSAHAU WATANZANIA,
 
Awamu ya JK kuwa ilifanya ufisadi fulani haihalalishi wala haizuu kuwa awamu ya Magufuli ilikuwa ni awamu ya ufisadi based on CAG report.Kwa kutumia ripoti ya CAG Magufuli alikuwa mwizi,fisadi,kiongozi mzembe sana na asiejali maslahi ya wananchi.
Ripoti ya Mwakyembe, milion 520 kila siku, Richmond
 
Hapo unafurahia hiyo miundo mbinu ya Ilo eneo inawezekana umepangisha.

Kuna waliolipa gharama ya kuvunjiwa nyumba zao na bwana yule bila malipo kwa ajili ya hizo miundo mbinu, wao wanalia we unafurahi.
Nani kavunjiwa nyumba kiwalani?..barabara zote zilizojengwa zilikuwepo kabla,na hakuna barabara iliyopita sehemu ambapo kuna nyumba ya mtu..
Halafu hilo la kutokulipwa,usiongee kama ni mtu mgeni kwa tz,watu walivunjiwa nyumba kitambo sana hadi leo hii hawajalipwa,inategemeana nyumba yako umeijenga sehemu gani..hilo liko wazi,kwa mfano wakazi waliojenga karibu na hifadhi ya reli,walibomolewa ili kupisha ujenzi wa sgr,unataka nao walipwe??.hufai kuwa kiongozi..watu walibomolewa nyumba zao pale kipawa,uwanja wa ndege,wengine hadi leo hii hawajalipwa..hata magu hajaingia madarakani,tuache unafiki watanzania
 
Back
Top Bottom