Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

Mwanamke aliyekaa karibu na CAG, says it all!!

Ngoja tuulize swali, ripoti ni ya kweli au si ya kweli?

Tukimaliza hili tutaendelea na mengine.
 
hawa ndio mashahidi wa uongo wa mafarisayo wazee wa husda..
 
Ngoja tuulize swali, ripoti ni ya kweli au si ya kweli?

Tukimaliza hili tutaendelea na mengine.
Ni ya kweli

CAG ametajwa kwenye katiba ya nchi na kuwa haingiliwi na mhimili wowote katika kufanya kazi zake za kukagua matumizi ya fedha za umma

Nashangaa mtu tuliyepewa kikatiba atusaidie kujua fedha zetu zinatumikaje ndio huyo tunamsimanga tena!

Nani katuroga? Ushabiki?
 
Ndiyo ndiyo ndugu yangu wa kudumu![emoji1][emoji1][emoji1]Ndugu yangu tulipigwa!
Siku hizi nakuelewa sana ndugu yangu ...ndo maana ulikuwa unaumia sana

Nmejikuta naumia zaidi yako sio kwa kupigwa huku
 
Ngoja tuulize swali, ripoti ni ya kweli au si ya kweli?

Tukimaliza hili tutaendelea na mengine.
Mmh. Hii quote itakuambia mengi…

“Those who know do not speak. Those who speak do not know.” - Lao Tsu, Tao The Ching
 
Ni awamu ya JPM tu ambapo report ya CAG uwa inamchafua 😂😂😂 yani mnafurahisha sana.
Kama alijua hakuna madudu kwani alijitoa kwenye mikataba ya transparency? Nini alitaka kuficha?
Ingekuwa JK naye angekuwa kama awamu ya Magu hakika JK angeondoka madarakani akiwa msafi sana. Ni vile aliwaruhusu watu wajadili, vyombo vichambue, report ijadiliwe bungeni ndipo akaonekana fisadi.
Ila kikwete huyu huyu ndiye mwanzilishi wa shule za kata, umeme wa REA, kuunga barabara mikoa yote. Na ni kupitia project kama hizi ndipo watu walipiga pesa ila yeye alikuwa tayari mambo yajadiliwe.
Umemaliza yote mkuu kinachofanya mwendazake aonekane anachafuliwa ni mazingira aliyojitengenezea yeye mwenyewe kipindi cha uhai/utawala wake. Hakuruhusu kukosolewa, watu waliogopa kumkosoa akiwepo. Sasa hayupo kila mtu anafunguka wanajua hawezi kuwatisha na kuwafukuza tena.
 
Ufisadi kwa mwendazake haukwepeki japo yeye aliona ndiyo Jambo jema na kwa vile watu waliogopa kumpinga, mfano mdogo nikulazimisha serikali ichukue huduma za makampuni ya serikali hata Kama ni ghali mfano ukienda kukata tiketi ya ndege ukate shirika la ndege la serikali kwa lazima, magazeti hivyo hivyo, simu hivyo hivyo, television hivyo hivyo na vingine vingi hivyo unajikuta gharama za ulipaji bill ni kubwa na upotevu wa mapato.
 
Back
Top Bottom