Mimi sikuwa muumini wa Magufuli, lakini naomba kuwaeleza kwa body language ya mwanamke aliyekaa karibu na CAG inasema yote
ripoti ya CAG imejaa siri nzito na siku si nyingi tutaona kuna nini nyuma ya hii report
Huyo mama aliyekaa karibu na msoma repoti simfahamu lakini hisia zangu zinaenda mbali zaidi na kuniambia kuna kitu kwenye hii repoti
Mtazame vizuri utagundua!
View attachment 1747307
..Huyo mama ni Mheshimiwa Grace Tendega.
..yeye ndiyo mwenyekiti wa kamati ya bunge itakayowahoji wote waliotuhumiwa ktk ripoti ya CAG.