Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

Mkuu mambo yao waachie wenyewe
 
Hili sio kwa waliosoma tu hata wale wasiosoma...pia hili sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume
 
Kwani Mtu akijilia vyake kuna shida gani mkuu?
 
Bajet ya jumbq za wagen kwa masaa 24 not less than 100,000

Wakt kwake unatenga 5000 boda na unampa 50,000/- yake anajazia kodi life goes on
 
Sio kila mwanaume akiingia kwenye Chumba cha mwanamke n Mtu wake/Bwana wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…