Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

Kila mtu afanye anachotaka. Ndivyo alivyo usimpangie ili mradi havunji sheria za nchi. Ndio maana kila mtu ana kichwa chake na mataminio yake.

Kwa ufupi fanya yanayokuletea furaha, mwache yeye pia afurahie yake
 
Je mwanaume mwenye ghetto lake anaruhusiwa kupeleka wanawake zaidi ya mmoja hapo ghetto kwake?
Aruhusiwe na nani sasa. Mungu kakupa utashi huru..... Chagua mwenyewe ni ruksa. Sasa hivi wewe hapo ukichagua kuoa mnene ruksa, mwembamba ruksa. Hauhitaji ruhusa ya mtu
 
Kwa mtizamo wako mwanamke asiyekuwa na kazi nzuri au elimu nzuri ndiye anaeingiza wanaume ndani au anafaa kuingiza wanaume wengi ndani kwake?
 
Kwahiyo wewe unadhani elimu pamoja na kipato chake vinamuondolea sifa yake ya kuwa mwanamke?
 
Je mwanaume mwenye ghetto lake anaruhusiwa kupeleka wanawake zaidi ya mmoja hapo ghetto kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…