atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Kama ndo maisha kachagua na ndoa sio issue kwake jeKwa mwanamke haipendezi kwa tabia hizo anaweza kustuka ana ana age ya 40 hajaolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndo maisha kachagua na ndoa sio issue kwake jeKwa mwanamke haipendezi kwa tabia hizo anaweza kustuka ana ana age ya 40 hajaolewa
Hahaha.Kwani dhambi ya uzinzi inapungua ukifanya guest na sio nyumbani kwako?
Wacha bidada wajienjoy bwana...akiwa kwake yupo huru jee kama ana enjoy kunyeea mashuka huko guest sii aibu tupu
Mzabzab hili la kunyea shuka umenifanya nijiulize na kuwaza jambo hilo lipoje!Kwani dhambi ya uzinzi inapungua ukifanya guest na sio nyumbani kwako?
Wacha bidada wajienjoy bwana...akiwa kwake yupo huru jee kama ana enjoy kunyeea mashuka huko guest sii aibu tupu
'Anaruhusiwa' kwani kuna mtoa vibali?Je mwanaume mwenye ghetto lake anaruhusiwa kupeleka wanawake zaidi ya mmoja hapo ghetto kwake?
Kila mtu afanye anachotaka. Ndivyo alivyo usimpangie ili mradi havunji sheria za nchi. Ndio maana kila mtu ana kichwa chake na mataminio yake.Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Sasa hapo tayari umeshaingiza mambo ya kisheria 'ushahidi'🤣🤣.Sio kila mwanaume akiingia kwenye Chumba cha mwanamke n Mtu wake/Bwana wake
Aruhusiwe na nani sasa. Mungu kakupa utashi huru..... Chagua mwenyewe ni ruksa. Sasa hivi wewe hapo ukichagua kuoa mnene ruksa, mwembamba ruksa. Hauhitaji ruhusa ya mtuJe mwanaume mwenye ghetto lake anaruhusiwa kupeleka wanawake zaidi ya mmoja hapo ghetto kwake?
Kwa mtizamo wako mwanamke asiyekuwa na kazi nzuri au elimu nzuri ndiye anaeingiza wanaume ndani au anafaa kuingiza wanaume wengi ndani kwake?Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Sikuwa na maana uliyoifikiria ya vibali mkuu'Anaruhusiwa' kwani kuna mtoa vibali?
Nani alikudanganya kila mwanamke anayerukia wanaume anataka kuhongwa pesa au anataka pesa kwa mwanaume? TafakariWengine Umalaya ni tabia yao.
Na tamaa maana huenda kipato anaona hakimtoshi labda ni mtu wa kutaka mambo makubwa.
Anapoint huyo na wewe una point pia.Nani alikudanganya kila mwanamke anayerukia wanaume anataka kuhongwa pesa au anataka pesa kwa mwanaume? Tafakari
Mbona za mwanzo wa mwaka hujamtakia?Niko poa mkuu sijui wewe, heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Eeh mkuu sio poa😳😳 Ebana eeh, mtu kakatwa HALMASHAURI
Kaona inamfilisiMmh kaona aiondoe tu
Kwahiyo wewe unadhani elimu pamoja na kipato chake vinamuondolea sifa yake ya kuwa mwanamke?Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa unajitegemea hailet picha nzuri.
Kama wewe ni malaya basi jitahid hao wengine mkutane huko nyumba za wageni sio kila mtu unamleta kwako, maadili, heshima viko wap jamani.
Wanawake jirekebisheni.
Wasalam wakuu.

Je mwanaume mwenye ghetto lake anaruhusiwa kupeleka wanawake zaidi ya mmoja hapo ghetto kwake?