Sasa sii ndio watamu hao mwanawane tueagegede ...alafu unajiongeza unakula hadi hausigelo wakeUmepanga chumba na seble una mtoto na binti wa kazi na bado wanaume unaleta humohumo,
Hiyo tabia ipo kwa single mother wengi tu wanachojua Ni ulevi na umalaya!
Nimemalizana na wewe hapo juu. Naona nakimbizana na ..........chaaOkey,
Let you win the conversation.
I can’t argue with a fool.
Comment ya pili baada ya mtoa mada mpaka ya 22 wote wameshadadia ujinga kwa kumpinga mtoa mada moja kwa moja. Comment ya 23 hii ndiyo ya kwanza kuandika na kushauri jambo la maanaHili sio kwa waliosoma tu hata wale wasiosoma...pia hili sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume
UShaido wa nnSasa hapo tayari umeshaingiza mambo ya kisheria 'ushahidi'🤣🤣.
Kwamba watu wote duniani lazima waowe na kuolewa?Comment ya pili baada ya mtoa mada mpaka ya 22 wote wameshadadia ujinga kwa kumpinga mtoa mada moja kwa moja. Comment ya 23 hii ndiyo ya kwanza kuandika na kushauri jambo la maana
Mimi naongezea kwenu nyote yaani mtoa mada na wewe mchangiaji.
Kama mtu anaona ana sifa zote za kimaumbile kama mwanadamu basi na aoe/aolewe ili atimiziwe haja zake za kimaumbile na mwenza wake
Kuoa ni nature, hatuwezi kukwepa jambo hili la kimaumbile!
Bado za mwanzo hazijafika mkuu, zikifika atazipata.Mbona za mwanzo wa mwaka hujamtakia?
Za mwisho wa mwaka
1. Uhuru wa Tanganyika
2. Christmass (Misa ya Kristo)
3. Kupeana zawadi (Boxing day)
Za mwanzo wa mwaka
1. Siku ya kwanza January 1, 2025
2. Mapinduzi ya Zanzibar
Cc. Dr am 4 real PhD
Ushahidi wa kuthibitisha kama walifanya ama hawakufanya.UShaido wa nn
Yaani mwanaume anaingia na hakai sebuleni,anaingia chumbani na migno inasikika,unakua hujui kua anapigwa?Sio kila mwanaume akiingia kwenye Chumba cha mwanamke n Mtu wake/Bwana wake