Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

Mwanamke ambaye ana kazi yake nzuri na elimu inakuwaje unaleta mwanaume zaidi ya mmoja sehemu uliyopanga?

Hili sio kwa waliosoma tu hata wale wasiosoma...pia hili sio kwa wanawake tu hata kwa wanaume
Comment ya pili baada ya mtoa mada mpaka ya 22 wote wameshadadia ujinga kwa kumpinga mtoa mada moja kwa moja. Comment ya 23 hii ndiyo ya kwanza kuandika na kushauri jambo la maana

Mimi naongezea kwenu nyote yaani mtoa mada na wewe mchangiaji.
Kama mtu anaona ana sifa zote za kimaumbile kama mwanadamu basi na aoe/aolewe ili atimiziwe haja zake za kimaumbile na mwenza wake

Kuoa ni nature, hatuwezi kukwepa jambo hili la kimaumbile!
 
Kwamba watu wote duniani lazima waowe na kuolewa?
 
Ulikataliwa wewe,au ulipewa ukataka na kuweka kituo ikashindikana!? Anyway,naona kama vile umbea hivi. Mama yenu alisema kwamba wanaume siku hizi wamekuwa wambea kuzidi wanawake
 
UShaido wa nn
Ushahidi wa kuthibitisha kama walifanya ama hawakufanya.

Mwanamke aliyekiri kutongozwa, je kwenye hiyo nyumba waliingia na jamaa kufanya nini?

Watu hujenga hisia za ukweli wa jambo kutokana na mazingira, uliposema 'si lazima wakafanye', ndonikaingiza hilo neno kwamba kukubaliana mpaka pawepo na uthibitisho wa kisheria?
 
Nadhani tunatakiwa kujua kila mmoja wetu anaudhaifu wake/tabia yake ambayo si njema machoni pawengine.......ni ngumu kumbadilisha mtazamo/mwenendo wa kila mmoja wetu, kila mtu na atende ilivyo vyema machoni pake bila kuvunja sheria ya nchi au kuvuruga amani ya nchi.
 
Sio kila mwanaume akiingia kwenye Chumba cha mwanamke n Mtu wake/Bwana wake
Yaani mwanaume anaingia na hakai sebuleni,anaingia chumbani na migno inasikika,unakua hujui kua anapigwa?
Daah!
 
Jirani hapa kaingiza demu katika chumba chake kimoja na pikipiki imeingizwa ndani.Demu kama ametoka kanisani vile au sijui ndo ameaga anaenda, kaishia kwa msela
 
Back
Top Bottom