Sasa sii ndio watamu hao mwanawane tueagegede ...alafu unajiongeza unakula hadi hausigelo wakeUmepanga chumba na seble una mtoto na binti wa kazi na bado wanaume unaleta humohumo,
Hiyo tabia ipo kwa single mother wengi tu wanachojua Ni ulevi na umalaya!