Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Pole aiseeπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, mimi sina neno.
 
Mtu wa namna hii hata akijakuomba msaada humu atakosa,maaana wengine tuna tabia ya kukagua mafaili ya nyuma [emoji1][emoji1][emoji1],na kibaya zaidi post za humu hazifutiki zinaishi.Kuna mda watu wanatakiwa kudhamini utu wa mtu
Hata maoni tu sista[emoji23][emoji23][emoji23], mbona mmefika mbali[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu kwani wanawake walikufanya nini, maana comments zako [emoji23][emoji23][emoji23] zitawafanya wengine wakuchukie[emoji23][emoji23][emoji23]
Oh bro usilete utani ni bora uwachukie wanawake kuliko kiwapenda. Utakuja kulia vibaya mnoo ukiwapenda hawa warembo. Wee penda utelezi wao tuu. Utanishukuru baadae.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa ukisema niwachukie sinitabidi nichukie hadi dada na binamu zangu. Tuishi nao kiakili tu, mguu nje mguu ndani. Ila sasa ndio ishatokeaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†, Mungu fundi ujue.
 
Wewe ata mama yako na dada yake wachukie tuu sii wanawake ama mie ndio sielewe maana na mwanamkeπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
πŸ˜€πŸ˜€

πŸ˜‚πŸ˜‚ basi kuwachukia siwezi, ila akili kumkichwa tu ndio pona yangu. Ila sio siri mmewakandia mpaka basiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wee unawaonea huruma hawa...wao wanatuita wanaume suruali mara vibamia mara huna mnele wala nyuma kama mche wa sabuni. Hawa mie siwezi waonea huruma ng'ooo.
Ni kuwakandia tuu
 
Alafu wanaume wenye sura mbaya na hawana Hela ndio wanaoongoza Kwa maneno machafu Wana makasiriko balaa huu ni utafit wanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanaume mateso, tutafanyaje sasa. Dah! Kweli JF kuna chuki kati ya hawa watuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaishe, wewe sikuwezi na hilo gubu, sikuwezi. Labda jamaa Testimonial kule juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, maana hukomagiπŸ˜‚πŸ˜‚.
Mimi nilishajikubali Sina sura ya kuringia Wala chochote nipo nipo tu hayo hayaniumizagi na hata nikikimbiwa stend poa tu kwani nimejiumba πŸ˜€
 
NakujuaπŸ˜‚, ndio maana nikasema sikuwezagi. Waje wabobevuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alafu wanaume wenye sura mbaya na hawana Hela ndio wanaoongoza Kwa maneno machafu Wana makasiriko balaa huu ni utafit wanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ni kweli usemalo. Mie mwenyewe nawakandia wanawake maana kwanza on a scale of 1-10 ya uhandasome mie nipo -3, hela ndio sina nitaachaje kuwakandia wanawake ili japo nijifariji maana mbususu zao sipati. Ni kweli mi makasiriko yangu kwa wanawake ni kwana am ugly and i dnt have money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…