Kwanza sura na chura mambo ya moyo mwachie dokta janabiUzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza sura na chura mambo ya moyo mwachie dokta janabiUzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Pole aisee😆😆😆😆, mimi sina neno.🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️ 😁😁😁!
Watu wamenipopoajee nahio wazo yangu🙌🙌🙌
"mwanamke shepu sijui matrak sura watajua wenyewe 😁😁😁
Ndrrriiioooo ndrrriiioooo wowo first☺️!Kwanza sura na chura mambo ya moyo mwachie dokta janabi
Hata maoni tu sista[emoji23][emoji23][emoji23], mbona mmefika mbali[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu wa namna hii hata akijakuomba msaada humu atakosa,maaana wengine tuna tabia ya kukagua mafaili ya nyuma [emoji1][emoji1][emoji1],na kibaya zaidi post za humu hazifutiki zinaishi.Kuna mda watu wanatakiwa kudhamini utu wa mtu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu kwani wanawake walikufanya nini, maana comments zako [emoji23][emoji23][emoji23] zitawafanya wengine wakuchukie[emoji23][emoji23][emoji23]sura sio roho[emoji23][emoji23]
Oh bro usilete utani ni bora uwachukie wanawake kuliko kiwapenda. Utakuja kulia vibaya mnoo ukiwapenda hawa warembo. Wee penda utelezi wao tuu. Utanishukuru baadae.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu kwani wanawake walikufanya nini, maana comments zako [emoji23][emoji23][emoji23] zitawafanya wengine wakuchukie[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 sasa ukisema niwachukie sinitabidi nichukie hadi dada na binamu zangu. Tuishi nao kiakili tu, mguu nje mguu ndani. Ila sasa ndio ishatokea😆😆😆, Mungu fundi ujue.Oh bro usilete utani ni bora uwachukie wanawake kuliko kiwapenda. Utakuja kulia vibaya mnoo ukiwapenda hawa warembo. Wee penda utelezi wao tuu. Utanishukuru baadae.
Wewe ata mama yako na dada yake wachukie tuu sii wanawake ama mie ndio sielewe maana na mwanamke🤔🤔🤔😂😂😂😂 sasa ukisema niwachukie sinitabidi nichukie hadi dada na binamu zangu. Tuishi nao kiakili tu, mguu nje mguu ndani. Ila sasa ndio ishatokea😆😆😆, Mungu fundi ujue.
😂😂😂😂 sasa ukisema niwachukie sinitabidi nichukie hadi dada na binamu zangu. Tuishi nao kiakili tu, mguu nje mguu ndani. Ila sasa ndio ishatokea😆😆😆, Mungu fundi ujue.
😂😂 basi kuwachukia siwezi, ila akili kumkichwa tu ndio pona yangu. Ila sio siri mmewakandia mpaka basi😆😆😆Wewe ata mama yako na dada yake wachukie tuu sii wanawake ama mie ndio sielewe maana na mwanamke🤔🤔🤔
Wapi huko tumekandiwa?😂😂 basi kuwachukia siwezi, ila akili kumkichwa tu ndio pona yangu. Ila sio siri mmewakandia mpaka basi😆😆😆
Wee unawaonea huruma hawa...wao wanatuita wanaume suruali mara vibamia mara huna mnele wala nyuma kama mche wa sabuni. Hawa mie siwezi waonea huruma ng'ooo.😂😂 basi kuwachukia siwezi, ila akili kumkichwa tu ndio pona yangu. Ila sio siri mmewakandia mpaka basi😆😆😆
😂😂😂 yaishe, wewe sikuwezi na hilo gubu, sikuwezi. Labda jamaa Testimonial kule juu😂😂😂, maana hukomagi😂😂.Wapi huko tumekandiwa?
Alafu wanaume wenye sura mbaya na hawana Hela ndio wanaoongoza Kwa maneno machafu Wana makasiriko balaa huu ni utafit wangu😀😀😀Wee unawaonea huruma hawa...wao wanatuita wanaume suruali mara vibamia mara huna mnele wala nyuma kama mche wa sabuni. Hawa mie siwezi waonea huruma ng'ooo.
Ni kuwakandia tuu
😂😂😂😂 mwanaume mateso, tutafanyaje sasa. Dah! Kweli JF kuna chuki kati ya hawa watu😂😂😂😂Wee unawaonea huruma hawa...wao wanatuita wanaume suruali mara vibamia mara huna mnele wala nyuma kama mche wa sabuni. Hawa mie siwezi waonea huruma ng'ooo.
Ni kuwakandia tuu
Mimi nilishajikubali Sina sura ya kuringia Wala chochote nipo nipo tu hayo hayaniumizagi na hata nikikimbiwa stend poa tu kwani nimejiumba 😀😂😂😂 yaishe, wewe sikuwezi na hilo gubu, sikuwezi. Labda jamaa Testimonial kule juu😂😂😂, maana hukomagi😂😂.
Nakujua😂, ndio maana nikasema sikuwezagi. Waje wabobevu😂😂Mimi nilishajikubali Sina sura ya kuringia Wala chochote nipo nipo tu hayo hayaniumizagi na hata nikikimbiwa stend poa tu kwani nimejiumba 😀
Ni kweli usemalo. Mie mwenyewe nawakandia wanawake maana kwanza on a scale of 1-10 ya uhandasome mie nipo -3, hela ndio sina nitaachaje kuwakandia wanawake ili japo nijifariji maana mbususu zao sipati. Ni kweli mi makasiriko yangu kwa wanawake ni kwana am ugly and i dnt have money.Alafu wanaume wenye sura mbaya na hawana Hela ndio wanaoongoza Kwa maneno machafu Wana makasiriko balaa huu ni utafit wangu😀😀😀
Sijasemea maoni,nimezungumzia uzi(nyuzi)Hata maoni tu sista[emoji23][emoji23][emoji23], mbona mmefika mbali[emoji23][emoji23][emoji23]